Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwahiyo weekend yaa Jana La Liga kwenye top 10 kashinda Atletico tu duuh
 
Mpaka Sasa hivi Hawa watu wa kampuni za betting ni binadamu kama sisi, Jana city alikuwa na odds 1.30, 1.36 mpaka half time city 0-1 Man u eeh ft 3-1 kanji huwa anaonaje mpaka anajua hapa huyu Leo anapigwa
Hata wewe ungekua muhindi kabla ya game ungempa city odds ngapi ?
 
Mr.X aliweka laki kwenye odd ya 1.5 akitafuta 50k Tu

Mr Y akaweka laki kwenye odd ya 2.00 akitafuta 100k Tu

Wakati Mr. A aliweka 400000 kwenye odd 1.5 akitafuta 200k
Kisha Mr.B aliweka 400000 kwenye 2.00 akitafuta 400k

Kwa mtazamo wangu ni kwamba endapo Mr. X na Mr Y watapoteza basi wote wamepoteza kwa uwezo wao na wakiwin basi kila mmoja katimiza lengo lake. Hivyo hivyo kwa Mr.A na Mr.B.

Usishangae MTU kuweka kiasi kikubwa kwa odd ndogo, tambua ana malengo yake na wewe unayo yako.

Mwisho wa siku kila MTU ana Una alichopanda.
 
Hata wewe ungekua muhindi kabla ya game ungempa city odds ngapi ?
Mfano tuchukulie Liverpool alipewa odds 1.54 alikuwa away, hii game sijui alionaje, ila Kuna wadau walimpa Liverpool goli 2, matokeo katoka 1 ft weekend ya Jana hiyo, ila city akapewa zile odds na kapiga mtu 3, ila Kuna muda odds hazichezi matokeo yanaenda tofauti, Kuna wazee walimpa hadi Man u sa sijui inakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…