A43
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 379
- 792
[emoji1][emoji1][emoji1] kwann unamuulza hvyo mr Kentaroo ..... Je una mashaka na ubashiri wake auKentaroo
Katika maisha yako ushawahi kula mkeka wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1] kwann unamuulza hvyo mr Kentaroo ..... Je una mashaka na ubashiri wake auKentaroo
Katika maisha yako ushawahi kula mkeka wowote?
[emoji23][emoji23]nimeuliza tu mkuu[emoji1][emoji1][emoji1] kwann unamuulza hvyo mr Kentaroo ..... Je una mashaka na ubashiri wake au
Yes ipo mikeka mingi tu ya stake kubwa kubwaKentaroo
Katika maisha yako ushawahi kula mkeka wowote?
Basi uwe unAwatumia code ya hiyo mikeka ya odds kubwa mkuuYes ipo mikeka mingi tu ya stake kubwa kubwa
Hii ya mia mia au Tshs 10 sijawahi
Somebody Shaaban Said nafikiriNi vyema kumtaja tukazidi kujifunza pia kupitia kwake mkuu
Ahsante naona nimejaribu inafanya vzrNdio mkeka umetiki
Hata wewe ungekua muhindi kabla ya game ungempa city odds ngapi ?Mpaka Sasa hivi Hawa watu wa kampuni za betting ni binadamu kama sisi, Jana city alikuwa na odds 1.30, 1.36 mpaka half time city 0-1 Man u eeh ft 3-1 kanji huwa anaonaje mpaka anajua hapa huyu Leo anapigwa
Kwakweli ningeweka kama zile odds za jackpot 🤣🤣Hata wewe ungekua muhindi kabla ya game ungempa city odds ngapi ?
Mfano tuchukulie Liverpool alipewa odds 1.54 alikuwa away, hii game sijui alionaje, ila Kuna wadau walimpa Liverpool goli 2, matokeo katoka 1 ft weekend ya Jana hiyo, ila city akapewa zile odds na kapiga mtu 3, ila Kuna muda odds hazichezi matokeo yanaenda tofauti, Kuna wazee walimpa hadi Man u sa sijui inakuwajeHata wewe ungekua muhindi kabla ya game ungempa city odds ngapi ?
Umakini hakuna mkuu, kwasababu hakuna odds salama.Kuweni makini na mechi ya asernal lolote linaweza kutokea Pia ,OSASUNA ,
Osasuna wini by (1:0)Kuweni makini na mechi ya asernal lolote linaweza kutokea Pia ,OSASUNA ,
Hongera sana kwa uthubutuAhsante naona nimejaribu inafanya vzrView attachment 2924319
nipo mzeeWadau wa meridian bet builder mpo?
I kivipi hebu fafanua tupate elimu ya kile ulichobaoniGal sport ni e eweeeeezi