Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sioni Bayern Leverkusen kufanya comeback na kushinda mechi
 
Tubetie options gani dadeki...unaweka hadi over 0.5 goals lakini bado kina backa topola wanakupa 0-0 FT
Kwangu hiyo ndio naona option nafuu, sasa tunaingia tamaa ya kuboost odds kwa kuweka direct win mechi hata moja, matokeo yake chaliiii.
 
Al nasr wameuza mechi na wameongezewa dakika 10+ washinde ila wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…