Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imeisha hii mzee baba....hapo azerbaijan hatokagi mtu kizembeNa uchawi ni pale Bayern Leverkusen mpaka HT 2-0 ataondoka na mikeka yangu huyu asipojiangalia
Tubetie options gani dadeki...unaweka hadi over 0.5 goals lakini bado kina backa topola wanakupa 0-0 FTKila mtu mchawi wake
Al Nassr nao huko chaliiiii
Hatari tupuTubetie options gani dadeki...unaweka hadi over 0.5 goals lakini bado kina backa topola wanakupa 0-0 FT
Safi hapa imepitaNapita nayo hii mkuu ila na edit hizi tatu;AlNassir, Porto &Bayern (double chance)
Kwangu hiyo ndio naona option nafuu, sasa tunaingia tamaa ya kuboost odds kwa kuweka direct win mechi hata moja, matokeo yake chaliiii.Tubetie options gani dadeki...unaweka hadi over 0.5 goals lakini bado kina backa topola wanakupa 0-0 FT
Hatari tupu
Al Nassr kaishapigwa la 3 na kibonde
Yaaani hatari
Kanji anaminya sana odds....over 0.5 anazipa 1.01-1.15...Kwangu hiyo ndio naona option nafuu, sasa tunaingia tamaa ya kuboost odds kwa kuweka direct win mechi hata moja, matokeo yake chaliiii.
Nakubaliana na weweLigi za uarabuni niza kingese....jeshi ni Al hilal riyadh peke yake waliobaki wote miyeyusho tu
Hadi sahivi siamini kama Al Nassr kachana huu mkeka, huyo ndio nilikuwa sina hofu nae kabisa, ila... 😬😬
Bora haoAkina ajax hata kagoli kamoja hakuna, dakika zinayoyoma
Wajinga wamenikosesha 2MAl nasr wameuza mechi na wameongezewa dakika 10+ washinde ila wapi 😅😅😅