Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sioni Bayern Leverkusen kufanya comeback na kushinda mechi
 
Tubetie options gani dadeki...unaweka hadi over 0.5 goals lakini bado kina backa topola wanakupa 0-0 FT
Kwangu hiyo ndio naona option nafuu, sasa tunaingia tamaa ya kuboost odds kwa kuweka direct win mechi hata moja, matokeo yake chaliiii.
 
Huo boss, jaribu bahati yako!

View attachment 2927109
Hadi sahivi siamini kama Al Nassr kachana huu mkeka, huyo ndio nilikuwa sina hofu nae kabisa, ila... 😬😬

1709838706637.png
 

Attachments

  • 1709838638924.png
    1709838638924.png
    9.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom