Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una cashout au unaendelea kukaza fuvu?Oyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
Hata hiyo 200 ataikosa ni swala la muda tuUna cashout au unaendelea kukaza fuvu?
Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200
Laki sita ni kubwa Sana...afu why hujashare huo mkeka huo ni uchoyo afu unatuambia...kingine ushauri toa hio laki sita unapata faida kutoka 30k parefu Sana hapo ikitokea tu bila bila moja na goal kukataliwa var utaanza kulia...million 27 hushindiOyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
team nilizoweka ni za uhakika sizan kama asenal mancher city liverpol watashindwa kunitolea hata goli moja hapa nakomaa nao ndio mana anasema weka kiasi unachoweza poteza mi k30 cashout ya laki 6 ikifika kwenye k30 yangu naitoa nitakuwa sijapoteza kituUna cashout au unaendelea kukaza fuvu?
Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200
mkuu nashinda ngoja ingekuwa wa kuliwa ningeliwa kwenye mech ya simba na prison nikampa prison kwahy huu mkeka una unabii ndan yake mi huwa sikurupukagi wengi humu kaz zangu wanazionagaLaki sita ni kubwa Sana...afu why hujashare huo mkeka huo ni uchoyo afu unatuambia...kingine ushauri toa hio laki sita unapata faida kutoka 30k parefu Sana hapo ikitokea tu bila bila moja na goal kukataliwa var utaanza kulia...million 27 hushindi
Tuma 10,000 nikuunge kwenye group langu la Whatsapp 😄😄😃nendeni inbox jamani 🤣🤣🤣
Wajeda hawana akiliKuna dogo huku Namtumbo juzi Kati kayakanyaga. Kawafuata wajeda wawili ambao nao ni maafsa ubashiri eti Kuna jamaa ana fixed anauza laki 2
Wajeda nao wakaingia mkenge wakatoa laki each wakapewa odds
Wakstake mshahara wote wa wa mwezi wa pili.
Mkeka ukachanika ,dogo Hadi Sasa kakimbilia Ziwa Nyassa huko na ana mpango wa kuvukia Malawi kwani jamaa wanamsaka kinoma!!
B3DC918 Edited1FCBF01 edited
humu JF ni maGT watupu, hawatapeliki.Tuma 10,000 nikuunge kwenye group langu la Whatsapp 😄😄😃
Mzigo huu hapa wa leo leo nimeupika sasa hivi....Natupia mkeka wa sporybet wa usiku huu watu waamke vyema na weekend, andaa buku kama mimi.
Oyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kwe
Hizo hbr wapelekeee fb kama unadhania humu kuna mseleleko pambana tu na hali yako brohumu JF ni maGT watupu, hawatapeliki.
aende fb na WhatsApp.