Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuuuuh hivi kati ya wabishani wa muda wote huo, tutajua nani alikuwa akioga mtoni kaacha nguo ukingoni mwa mto na yule alokuwa na upungufu wa utimamu katika afya ya akili kwa kufukuzana mwenye tatizo la afya ya akili kavaa nguo zimeraruka na kashikiria nguo za alokuwa akioga nyuma yake akiwepo mwenye nguo ambazo zimebebwa akiwa uchi wa ndege wakielekea katikati ya umati wa kusanyiko la siku ya akina mama. Nadhani busara ituongoze katika kutatua mipishano kama hii haina afya.
 
Taratiibu naona wananitamanisha ila hawanipati 😏

Screenshot_20240308-230242.png
 
Ivi Mr cocktail JITU BANDIA amepotelea wapi jamaa yetu tumemiss coktail ya [emoji459] na [emoji460]
Preparation for the surgery tomorrow!!!

24858CC

It's me your specialist surgeon ...! JITUBANDIA!

Prepare for the cook!...

That's rough digital elevation model!... Wait for the grid... We go contouring soon!... Early in the morning!....Smoothing it into CAD software! A. K. A KIMKAKATI!

Weka Tuweke!
 
Attachments

  • booking_code_24858CC.jpeg
    booking_code_24858CC.jpeg
    560.6 KB · Views: 4
Preparation for the surgery tomorrow!!!

24858CC

It's me your specialist surgeon ...! JITUBANDIA!

Prepare for the cook!...

That's rough digital elevation model!... Wait for the grid... We go contouring soon!... Early in the morning!....Smoothing it into CAD software! A. K. A KIMKAKATI!

Weka Tuweke!
B34F37 edited
 
Wale ambao mmewahi/mnatumia helabet (kampuni ya kubet) nafanyaje kudeposit
Mimi niki deposit mara 2 ya 3 inagoma yaani hela inatoka kwenye account ya tigopesa ila haifiki kwenye account helabet naomba mnipe trick.
msaada jamani
 
msaada jamani
Maswali mengine ni usumbufu tu ...kazi mojawapo ya huu uzi ni kuonyesha njia sahihi na njia potovu ....hadi sasa watu mna...angaika na makampuni chungumzima wakati hapa JF tulisha fikia hitinisho ni kampuni gani nzuri za kutumia [emoji849] hayo makampuni mengine ni yakufuta kabisa kwenye simu yanajaza bure simu.
 
Ni kampuni gani nzuri mkuu ni sikuwepo kwenye kikao.
 
Preparation for the surgery tomorrow!!!

24858CC

It's me your specialist surgeon ...! JITUBANDIA!

Prepare for the cook!...

That's rough digital elevation model!... Wait for the grid... We go contouring soon!... Early in the morning!....Smoothing it into CAD software! A. K. A KIMKAKATI!

Weka Tuweke!
Nishapita nao shwaaa huna baya tajiri
 
treni lenyewe ni hili
Oyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
 
Attachments

  • az_recorder_20240309_094209.jpg
    az_recorder_20240309_094209.jpg
    96.4 KB · Views: 6
  • az_recorder_20240309_094220.jpg
    az_recorder_20240309_094220.jpg
    101.4 KB · Views: 7
  • az_recorder_20240309_094233.jpg
    az_recorder_20240309_094233.jpg
    95.1 KB · Views: 7
  • az_recorder_20240309_094245.jpg
    az_recorder_20240309_094245.jpg
    95.2 KB · Views: 6
Back
Top Bottom