Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บBET WAY ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ๐Ÿ‘บ
Booking code 80BBB44
Tupia sh 100 tu
 
Oyoo tupo kama hatupo ila tupo wakuu nimeweka mkeka wa odd 10000 team kama 30 hv nimetia kama elfu 30 ikasoma m27 sasa wakuu nachoshangaa hapa mwanzon mwa mkeka wote niliweka odd kubwa kubwa yaan over 3.5 odd 4.25 kama team 7 na zote zimetiki huku chin zilizobaki ni over 0.5 na double chance ninachoshang nikipiga hesabu odd zilizo win nikaribia 650 ila kwenye cash out nimepewa ka laki 6 katika m27 na team zimebaki 8 hivi hawa jamaa hesabu wanapigaje mpaka caush out isome laki sita? sio wizi kweli?
 
Una cashout au unaendelea kukaza fuvu?

Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200
 
Laki sita ni kubwa Sana...afu why hujashare huo mkeka huo ni uchoyo afu unatuambia...kingine ushauri toa hio laki sita unapata faida kutoka 30k parefu Sana hapo ikitokea tu bila bila moja na goal kukataliwa var utaanza kulia...million 27 hushindi
 
Una cashout au unaendelea kukaza fuvu?

Ukiona huna maslahi nayo endelea kukomaa ili baadae uletewe cashout ya sh 200
team nilizoweka ni za uhakika sizan kama asenal mancher city liverpol watashindwa kunitolea hata goli moja hapa nakomaa nao ndio mana anasema weka kiasi unachoweza poteza mi k30 cashout ya laki 6 ikifika kwenye k30 yangu naitoa nitakuwa sijapoteza kitu
 
Laki sita ni kubwa Sana...afu why hujashare huo mkeka huo ni uchoyo afu unatuambia...kingine ushauri toa hio laki sita unapata faida kutoka 30k parefu Sana hapo ikitokea tu bila bila moja na goal kukataliwa var utaanza kulia...million 27 hushindi
mkuu nashinda ngoja ingekuwa wa kuliwa ningeliwa kwenye mech ya simba na prison nikampa prison kwahy huu mkeka una unabii ndan yake mi huwa sikurupukagi wengi humu kaz zangu wanazionaga
 
Wale ambao mmewahi/mnatumia helabet (kampuni ya kubet) nafanyaje kudeposit
Mimi niki deposit mara 2 ya 3 inagoma yaani hela inatoka kwenye account ya tigopesa ila haifiki kwenye account helabet naomba mnipe trick.
 
Wajeda hawana akili
 
Ukicash out hesabu yake huwa ndogo zaidi ya kile kitu kizima tenq hiyo mbn kubwa sana muhimdi kakukheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ