Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hiyo To Qualify harafu wametoka draw we umeweka home inakuwaje kuwaje!?
Hiyo ni zaidi ya home win pia inakwenda hadi dk 30 za nyongeza au hadi penalty..pia inazingatia point..au hata magoli mfano home team inaweza kushinda mechi ila ilitakiwa ifunge mabao mawili bila ila mechi ikaisha home 2 away 1 maana yake home haja qualify
 
mzee wa option ngumungumu, we jamaa noma.

telegram tulikuwa wote kwenye magroup mawili ya REAL VIP BETTING TIPS na SURE FIXED DRAWS. magroup yote hayo nikashangaa napigwa ban tu bila sababu yoyote. nikapata jibu kwamba admins wengi ni matapeli, ukifichua njia wanazotumia matapeli wanakupiga ban.
HATAMIE WALINIPITIA USIWAPINGE WEE UNALO
 
LUTHANIA
LGE
HEGELMANN OV 2.5
2.00

AL RABI
OV 3 .5
2.35
 MXB
 
Ngoja [emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834]🦧🦧[emoji856]
 

Attachments

  • Screenshot_20240313-185934_SportyBet.jpg
    Screenshot_20240313-185934_SportyBet.jpg
    27.7 KB · Views: 6
52WMP4R BP
 

Attachments

  • Screenshot_20240313_211801_betPawa~2.jpg
    Screenshot_20240313_211801_betPawa~2.jpg
    27.7 KB · Views: 6
Du [emoji849][emoji849][emoji849]hii mechi ya bourmouth ni noma bora nililala la sivyo ningekeshi out jamaa kaja back akiwa 0-3 hadi 4-3 [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Screenshot_20240314-001428_SportyBet.jpg
 
Du mtaji umerudi baada ya kuutafuna jana nilifanya kama mkul8ma kula mbegu nikabakisha 1500 tu nilijua kesho nskwenda ku deposit [emoji56][emoji56][emoji56] [emoji95]
Screenshot_20240314-010033_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom