Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Hiyo ni zaidi ya home win pia inakwenda hadi dk 30 za nyongeza au hadi penalty..pia inazingatia point..au hata magoli mfano home team inaweza kushinda mechi ila ilitakiwa ifunge mabao mawili bila ila mechi ikaisha home 2 away 1 maana yake home haja qualifyMkuu hiyo To Qualify harafu wametoka draw we umeweka home inakuwaje kuwaje!?