Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hiyo To Qualify harafu wametoka draw we umeweka home inakuwaje kuwaje!?
Hiyo ni zaidi ya home win pia inakwenda hadi dk 30 za nyongeza au hadi penalty..pia inazingatia point..au hata magoli mfano home team inaweza kushinda mechi ila ilitakiwa ifunge mabao mawili bila ila mechi ikaisha home 2 away 1 maana yake home haja qualify
 
HATAMIE WALINIPITIA USIWAPINGE WEE UNALO
 
LUTHANIA
LGE
HEGELMANN OV 2.5
2.00

AL RABI
OV 3 .5
2.35
 MXB
 
Ngoja [emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834][emoji250]‍[emoji834]🦧🦧[emoji856]
 

Attachments

  • Screenshot_20240313-185934_SportyBet.jpg
    27.7 KB · Views: 6
52WMP4R BP
 

Attachments

  • Screenshot_20240313_211801_betPawa~2.jpg
    27.7 KB · Views: 6
Du [emoji849][emoji849][emoji849]hii mechi ya bourmouth ni noma bora nililala la sivyo ningekeshi out jamaa kaja back akiwa 0-3 hadi 4-3 [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Du mtaji umerudi baada ya kuutafuna jana nilifanya kama mkul8ma kula mbegu nikabakisha 1500 tu nilijua kesho nskwenda ku deposit [emoji56][emoji56][emoji56] [emoji95]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…