Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

PAWA 6 nao Kuna muda wanatuchezea

Kwa Io Jana Kuna watu walitabiri correct scores za Madrid 2-4 na Fulham ampige spurs goli 3 bila sio?
 
Capture.JPG

jamani ivi izo single, multiple na system kwa beting zinakua na utofauti gani maana ukienda multiple dau linashuka ukienda system dau linapanda sana sijajua matumizi yake
 
aise mtu kauliza kistaalabu anaomba code unamtolea mbali hivo maana zinaonekana mechi tatu hapo na total odd ni 122.85 asa unakua mkali kiasi hicho
Shida ni kwamba kuna watu wanasakwa,sasa Uelewa ukiwa mkubwa wa kudadisi mtu ana panic

Ufupi kuna Wajinga wanasakwa waingie kwenye mfumo huo wa kizamani na kishama Ili wapigwe,tatizo humu JF hawamo

Ndio maana huwezi kupata Straight answers
 
1xBet
7NHQC

Odd 5 zimenyooka hizi

Stake what you can afford to lose 🙏🙏🙏
 

Attachments

  • 951B71BC-0C6A-4E0B-8EE1-D41C4E16960A.png
    951B71BC-0C6A-4E0B-8EE1-D41C4E16960A.png
    182.5 KB · Views: 4
Back
Top Bottom