Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hongera mkuu siku yako imeanza vyema kabisa.Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu siku yako imeanza vyema kabisa.Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
For sure, zinaonekana rahisi ukila ila mziki wake sio poa. Mfano mechi ya Alhilal mpaka dk ya 79 ilikua 0-0 nikajua imechana but Mungu mwema magoli yamepatikana dakika za mwishowatu mna hatari.
tip ya over 1.5 na over 2.5 zinaonekana kama simpo, lakini ngumu kishenzi. kwenye mechi 3 ni kawaida kuchana mechi moja.
mi nimeona isiwe tabu, nimeamua kuzitema
Thanks buddyHongera mkuu siku yako imeanza vyema kabisa.
Hongera ila shida hutupiagi code broBang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k[emoji4]View attachment 2936766
Porto kakufanyaje??Anderlecht na Mkewe PORTO[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fungate lao kenge hawa sio la Nchi hii
we miso missondo.....Bang!!!
Be inspired or Ignore!! 700k😊View attachment 2936766
Akikujibu nistueHongera ila shida hutupiagi code bro
aseno hawez kata moto kirahis jomba sema kapandanishiwa mechiPumzi zimekata ni km aseno tu atakata motoo soon
Mkuu naomba huu mkeka wa bookingsBookings tafsiri fupi ni Kadi za Njano au Nyekundu
Uwiano ni kama wa magoli
League ya Netherlands waanza mpaka 1.5 baadhi ya Mechi kwenda juu
Sasa ikiwa 1.5 basi Kadi za Njano ziwe zaidi ya Moja,ikiwa 2.5 Kadi iwe zaidi ya mbili NK
Sasa Red Card yaa moja kwa Moja inahesabika kama Yellow cards mbili,sasa ikiwa over 1.5 mtu Akala straight red card basi imetiki,ila ikiwa Mchezaji alipewawanzo yellow card then akipewa red basi ni Kadi mbili tu hizo,ile red inakuwa kama second yellow card
Kuna mkeka Asubuhi nistue nitakupa Codes ya bookings tu uweke Buku tu,Ili uwe
unajifunza kwavitendo
Huu hapa ila hii ni Tuition haina assurance on tickMkuu naomba huu mkeka wa bookings
Kwamba umeoteshwaWENYE MTAJI TUWASILIANI ODDS NINA UHAKIKA NI 4 MALIPO BAADA YA KULA SIO MCHAWI ILA BETTING NAIJUA
weka codeKwa wale ambao hawana mitaji ila buku au jero anayo weka huu mkeka. Me nimewek 5000 ila nimeedit kidogo nikaongeza mechi ili wale buku au jero na nyie muweke.
Achana na matapeli wanaosema sijui odds za uhakika na blaa blaa za kipigaji. Me huwa naliwa lkn mara nyingi nabet odds 10 au 15 tu naweka ten au 5k basi na kwa wiki nabet mikeka mwiwili tu ili kujizuia nije kuifanta betting ajira.
Angalizo mechi hizi sio uhakika 100% ila ni asilimia kubwa kushinda kulingana na uchambuz wangu binafs kutokana na ligi zao zinavyoenda
View attachment 2937075View attachment 2937076View attachment 2937077View attachment 2937078View attachment 2937079
Sina mjadala na majitu mavivu kama huoni huzioni mechi kaa mbali na comment yanguweka code
mechi zimejikata huko juu na picha hazifunguki acha kuishi kwa mihemkoSina mjadala na majitu mavivu kama huoni huzioni mechi kaa mbali na comment yangu
kama wewe ni mkali wa kubet, weka hapa predictions za timu 20, kila mechi odd 1.3 kwenda juu. winning rate yako ikiwa 80% kwenda juu, tutakuona mkali.WENYE MTAJI TUWASILIANI ODDS NINA UHAKIKA NI 4 MALIPO BAADA YA KULA SIO MCHAWI ILA BETTING NAIJUA