Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

watu mna hatari.
tip ya over 1.5 na over 2.5 zinaonekana kama simpo, lakini ngumu kishenzi. kwenye mechi 3 ni kawaida kuchana mechi moja.
mi nimeona isiwe tabu, nimeamua kuzitema
For sure, zinaonekana rahisi ukila ila mziki wake sio poa. Mfano mechi ya Alhilal mpaka dk ya 79 ilikua 0-0 nikajua imechana but Mungu mwema magoli yamepatikana dakika za mwisho
 
Screenshot_20240317-070734.png
 
Bookings tafsiri fupi ni Kadi za Njano au Nyekundu

Uwiano ni kama wa magoli
League ya Netherlands waanza mpaka 1.5 baadhi ya Mechi kwenda juu

Sasa ikiwa 1.5 basi Kadi za Njano ziwe zaidi ya Moja,ikiwa 2.5 Kadi iwe zaidi ya mbili NK

Sasa Red Card yaa moja kwa Moja inahesabika kama Yellow cards mbili,sasa ikiwa over 1.5 mtu Akala straight red card basi imetiki,ila ikiwa Mchezaji alipewawanzo yellow card then akipewa red basi ni Kadi mbili tu hizo,ile red inakuwa kama second yellow card

Kuna mkeka Asubuhi nistue nitakupa Codes ya bookings tu uweke Buku tu,Ili uwe
unajifunza kwavitendo
Mkuu naomba huu mkeka wa bookings
 
WENYE MTAJI TUWASILIANI ODDS NINA UHAKIKA NI 4 MALIPO BAADA YA KULA SIO MCHAWI ILA BETTING NAIJUA
 
Tupia Tsh:2,000 then tukutane kwa wakala either to draw or deposit
This is betting na haina assurance

ANGALIZO:- Humu hatuuzi Codes au Mikeka

Sportbety:- 0D6706

Screenshot_20240317-125529.png
 
Kwa wale ambao hawana mitaji ila buku au jero anayo weka huu mkeka. Me nimewek 5000 ila nimeedit kidogo nikaongeza mechi ili wale buku au jero na nyie muweke.

Achana na matapeli wanaosema sijui odds za uhakika na blaa blaa za kipigaji. Me huwa naliwa lkn mara nyingi nabet odds 10 au 15 tu naweka ten au 5k basi na kwa wiki nabet mikeka mwiwili tu ili kujizuia nije kuifanta betting ajira.

Angalizo mechi hizi sio uhakika 100% ila ni asilimia kubwa kushinda kulingana na uchambuz wangu binafs kutokana na ligi zao zinavyoenda

View attachment 2937075View attachment 2937076View attachment 2937077View attachment 2937078
Screenshot_20240317-132930_SportPesa.jpg
 
Kwa wale ambao hawana mitaji ila buku au jero anayo weka huu mkeka. Me nimewek 5000 ila nimeedit kidogo nikaongeza mechi ili wale buku au jero na nyie muweke.

Achana na matapeli wanaosema sijui odds za uhakika na blaa blaa za kipigaji. Me huwa naliwa lkn mara nyingi nabet odds 10 au 15 tu naweka ten au 5k basi na kwa wiki nabet mikeka mwiwili tu ili kujizuia nije kuifanta betting ajira.

Angalizo mechi hizi sio uhakika 100% ila ni asilimia kubwa kushinda kulingana na uchambuz wangu binafs kutokana na ligi zao zinavyoenda

View attachment 2937075View attachment 2937076View attachment 2937077View attachment 2937078View attachment 2937079
weka code
 
WENYE MTAJI TUWASILIANI ODDS NINA UHAKIKA NI 4 MALIPO BAADA YA KULA SIO MCHAWI ILA BETTING NAIJUA
kama wewe ni mkali wa kubet, weka hapa predictions za timu 20, kila mechi odd 1.3 kwenda juu. winning rate yako ikiwa 80% kwenda juu, tutakuona mkali.

weka hapa prediction ya mechi 20 tukuone
 
Back
Top Bottom