aise mtu kauliza kistaalabu anaomba code unamtolea mbali hivo maana zinaonekana mechi tatu hapo na total odd ni 122.85 asa unakua mkali kiasi hichoSina mjadala na majitu mavivu kama huoni huzioni mechi kaa mbali na comment yangu
alijua atasifiwa akiongea vile....aise mtu kauliza kistaalabu anaomba code unamtolea mbali hivo maana zinaonekana mechi tatu hapo na total odd ni 122.85 asa unakua mkali kiasi hicho
Aisifue mvua.....🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani unatami bora ungeweka over 1.5 au Bookings au Corners
Aliegundua Betting system aisee very genius
Shida ni kwamba kuna watu wanasakwa,sasa Uelewa ukiwa mkubwa wa kudadisi mtu ana panicaise mtu kauliza kistaalabu anaomba code unamtolea mbali hivo maana zinaonekana mechi tatu hapo na total odd ni 122.85 asa unakua mkali kiasi hicho
Inawezekana LAKINI tambua kwamba japokua Napoli wameanza kujipata ila Inter wapo kwenye kilele cha ubora wao kwa sasawakuu inter anaweza kumchapa napol
Sio ana weza ana mchapa sema gosl chache ..kimoja tu au 2-1wakuu inter anaweza kumchapa napol
Nimekufata1xBet
7NHQC
Odd 5 zimenyooka hizi
Stake what you can afford to lose 🙏🙏🙏
At last moment they made itChelesii again