Evance1999
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 381
- 573
Haijatengenezwa hiyo mkuu ni code ya nigeria na Jana wanaija wamekula sana mamilioni huko. Sijatuma code huu ni mkeka wa dogo ninayemjua ye aliweka sh 10 ila angeweka hata jero tuu Saa hizi angekuwa milioneaKuna kamchezo siku hizi ka hizo Kazi za kutengeneza,ila mwambie tuma Codes before games,balaaaπ€£π€£π€£
hata hivyo uko vizuri. winning rate ya 91% =10/11 siyo mchezo.Jana haikua siku nzuri, one day yes! View attachment 2938055
Usikate tamaa mkuu! Leta mwingineJana haikua siku nzuri, one day yes! View attachment 2938055
Pumzika kubeti ndugu utakufa na pleasure
Dah nimeumia Sana ningetamani nimumeze huyo chizi ππ, ila betting bana eti ukiweka 200 nakuendelea unaliwa kichwaKuna watu wana bahati zao, betting ni bahati.View attachment 2937662
Unahasira MdauWakuu Hawa SPORTBET muxmam wanalipa kiasi gani?
Maccabi Haifa jana amemnusuru Kanji na vichapo. Wengi tulimpa direct win. Mkuu una upepo sana. Hongera.Jana haikua siku nzuri, one day yes! View attachment 2938055
ππππ mkuu haya ma SRL usipende kuyaweka kwenye mkeka. Ni computer ndio inachezesha kwa hiyo kuliwa nje nje.