Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna kamchezo siku hizi ka hizo Kazi za kutengeneza,ila mwambie tuma Codes before games,balaaa🤣🤣🤣
Haijatengenezwa hiyo mkuu ni code ya nigeria na Jana wanaija wamekula sana mamilioni huko. Sijatuma code huu ni mkeka wa dogo ninayemjua ye aliweka sh 10 ila angeweka hata jero tuu Saa hizi angekuwa milionea
 
Jana haikua siku nzuri, one day yes!
Screenshot_20240318_101139_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom