Grindavik anataka kuuchana mkeka
Anderlecht simuamini bora umuweke dinamo zagrebMchawi nani tummulike.....
Mh! Jamani
nimewabembeleza hata double chance wamegoma hahaha
Mchawi nani tummulike.....
Ushauli wenu unahitajika kanji anakufa hafi?
Nice selection mkuu ... mashaka yapo kidogo kwa Monaco. Nafikiri 2+
Kama kuna harufu ya hela hapoUshauli wenu unahitajika kanji anakufa hafi?
Hapo mchomoe anderletch na huyo uliyemjazia. Isome mechi ya lyngb, Gabala na RNK split. Tafuta wakumjazia katika hizo tatu jembe naona wote wana odds nzuri. Au kama vp tusuri benco cep ili tujazie gap.Mawazo yenu wadau ... Odds = 20.34 (ukimtoa WSG Wattens, waliobaki ni kwa hisani ya Clevertips).
View attachment 380073
Hapo mchomoe anderletch na huyo uliyemjazia. Isome mechi ya lyngb, Gabala na RNK split. Tafuta wakumjazia katika hizo tatu jembe naona wote wana odds nzuri. Au kama vp tusuri benco cep ili tujazie gap.
Huyu RNK Split sio yule Hajduk Split ambaye ni mkali zaidi ...asante kwa ushauri, ngoja nisubiri BankoCep ...hehehe, hapa dawa ni kutembea na nyota za BankoCep, Clevertips
Plzen
Zenit
IFK
PSG
Monaco
Anderlecht
Brighton
Man u
Chelsea
All win
Odd 48+
Nimetia elfu ishirini kwa laki nane, kokolo la leo,kesho na keshokutwa.
Ukiguswa nifate.
Aise duh!Wakusoma, mbona kimya Braza...? Tupia mambo..