blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Ahsante.. kumbe kulikuwa na tatizo la kiufundi, kuna mambo walikuwa wanarekebisha.
Sawa ni mtizamoSIMBA VS AL AHLY
Tuweke ushabiki pembeni.
Mwarabu haponi, pengine apate sare.
Huyo siku hizi sijui kawaje kwenye ligi yao mfate Leeds naona yupo 🔥Aisee wakuu hii week imeshaharibika tuwe makini na stake zetu. Leicester city wametupa ishara mbaya sana😂