Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya usiku wa deni haukawii kuchwa!!

Twanga na kupepeta waliwahi kuimba kibwagizo cha " naangusha moja moja leo""
Burudani zinaanza kulejea

Wa kwanza leo!!!!
 
Haya Twendeniii naona kuko doroo

Ukiona umeliwa basi jua mie nimeliwa 15,000 Tsh,maana ndio my stake on this

4659A0
Screenshot_20240329-114708.png
 
Aisee wakuu hii week imeshaharibika tuwe makini na stake zetu. Leicester city wametupa ishara mbaya sana😂
 
Back
Top Bottom