mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Yaa vibomu kam hiv huwa ni vya cash out tu ko huwa nastake mara mbili ili mambo yakienda ovyo skos vyote, hap brighton na zurich wametoa sareHope ulicash out mkuu
Kwani Mechi ya mwanzo walipewa ngapi?odds za mechi za simba na yanga ni dhahiri wanatoka. al ahly ana 1.40
mamelodi 1.48
Ya Ahly naon masoko mengine hmn ili watu waweke mzigo direct win mtego huoodds za mechi za simba na yanga ni dhahiri wanatoka. al ahly ana 1.40
mamelodi 1.48
Parapanda italiaKutoka twitterView attachment 2953897
Nigeria
Mamelod atamlaza na njaaKutoka twitterView attachment 2953897
Anaongezewa dk 10 lakini anakata viuno tuWashkaji mnaoandaa matusi kwa FEYENOORD nawaona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii Mechi nilikuwa naangalia yaani Mabishoo wengi