Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

odds za mechi za simba na yanga ni dhahiri wanatoka. al ahly ana 1.40
mamelodi 1.48
 
Kutoka twitter
IMG_0605.jpeg
 
well it's not always a time wasting. my friend made some good money with it. everyone should know their limits and that's all.
 
Weeee Liverpool weweee
🤣🤣🤣🤣🤣 Aiseee direct Win yenyewe Odd 1.10 shenzz type umetaka kutuua

Sema mie muoga sana hizi Mechi kubwa,hii ya Liverpool na ile ya Man United nimezipa Corners over 8.5
Hii imetoka,ya Man united bado Corners 3 tu na ni first Half.

Maana Team zote hizo Zina Wingers wa Moja kwa Moja kuchezea pembeni,so possible Corners hasa Chelsea na viberenge vyake ni mbio tu
 
Bookings/ CARDS

Marefa Wametoka kwenye mfungo wa Kwaresma,sasa mtatusamehe ni mwendo wa Maonyo ya Mdomo tuuu,Card mpaka uiombe kwa Refa🤣🤣🤣🤣


Liverpool wao hata Card Moja hakuna
Huko Uholanzi ndio hawafai,wanakula booking over 1.5 ila Mpira unaisha Bila Card

Bundesliga huwa hawaniangushi kwa mikadi
 
MAN uuuu safliiiiiii👏👏👏👏
Draw or Way ilikuwa over 1.88 mpaka hapo✅🙏 huku mbele mtajuana wenyewe

Maaana Chelsea alikata moto baada ya kutumia nguvu Nyingi mwanzo kutaka kulinda Ushindi

Ushabiki mbaya,yaani Arsenal yup juu kabisa ila eti Mashabiki wanachukia Man united kushinda,mhh ngoja uishe
 
Back
Top Bottom