Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe umepigwa ukapigika kaa kwa kutulia, hakuna mtoto wa kusoma ngonjera zako kila siku, labda kama unatafuta kuwa na post nyingi.

Kama ulikuwa unabet kizembe hiyo ni akili yako, sio kila mtu atafanya sawa na wewe. Kila mtu humu ana vyanzo vyake vya kupata hela hivyo usijilinganishe na mtu yoyote humu.
 
MIMI TENA MKINIONA NACHANGIA MADA YOYOTE YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MPIRA NDANI YA MWAKA HUU, HAKYA MAMA NARUDIA TENA NAOMBA MODS PAMOJA NA TIMU YOTE MNIREPOTI NIPIGWE BANI YA MAISHA
Mkuu kunywa maji mengi moyo uelee, Afisa kamalia jumamosi tunakuhitaji kazini, hakuna kutia huruma asee unayo siku ya kesho tu ya mapumziko.😂😂
 
Nimeamini MIUJIZA sio lazima kanisani tu ipo everywhere
Ni muda sasa wa kuchukua maamuz magumu sana
 
kazi namdai 30k yangu, vinginevyo ningeachana na hii biashara[emoji23]
 
kwa vilio hivi nimegundua inawezekana humu wengi wanatumia ela ambazo they cant aafford to lose kubetia which is very bad, tujitahid tubet kistaarabu. Alafu kingine kuna watu wanabet kila siku, kubet kila siku= to addiction,
 
kwa vilio hivi nimegundua inawezekana humu wengi wanatumia ela ambazo they cant aafford to lose kubetia which is very bad, tujitahid tubet kistaarabu. Alafu kingine kuna watu wanabet kila siku, kubet kila siku= to addiction,
Wenye akili( Great Thinkers )ndio tutakuelewa

Hilo ndio kundi kubwa mnoo,mpaka mtu anafikka eti anaomba asaidiwe pesa humu Jamii forum Ili acheze KAMARI unategemea ataweza ki afford hata kuendesha familia,atakula mpaka Pesa ya mviga

Addiction mostly comes when you have no much do.

Ukiingia kwenye LOST SLIP then set it as grand Total of lose,aisee hapo ndio ujipime umri na kilichopotea.
Actually KAMARI sio ya kutoboa,do it for fun

Maana usipokuwa Makini utabet wewe mpaka mjukukuu🤣🤣🤣

At least two times a week to rescue a mental health
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…