Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu tuache masihara hivi wanaija inakuaje mtu ana boom draw match 10 si uchawi huu jana watu wamepiga hela Twitter huko
Jua aponyuma amechana mikeka 7000+ ndo kabaatusha 1, akuna uchawi jinsi unavyo weka mikeka mingi na ndo uwezekano wa kushindwa unakua mkubwa pia nandio unavyo pigwa mpaka utauza na kiwanja![emoji23][emoji12].
 
We ambaye ujakulupuka umenunua range kwa njia ya betting?[emoji23][emoji23] betting nimchezo wa kula na kuliwa na ukiliwa unaliwa kisawa sawa.
Yaani we kweli mshamba yaani unashaangaa kuliwa kwenye betting wakati ni Moja ya sharti la betting kuliwa lazima
 
Usiamini sana kila unachokiona kwenye mitandao mkuu

Hakuna bingwa wa BAHATI
Mi nimeshinda huo mkeka wake jana sema nilicheza edit yake odds 120 draws zimetoa na original yake odds 2k zimetoa pia ila niliweka 400
 
Jua aponyuma amechana mikeka 7000+ ndo kabaatusha 1, akuna uchawi jinsi unavyo weka mikeka mingi na ndo uwezekano wa kushindwa unakua mkubwa pia nandio unavyo pigwa mpaka utauza na kiwanja![emoji23][emoji12].
Huwezi kuuza kiwanja kwa sababu ya jerojero labda kama una stake kibunda
 
Mkuu naona Paripesa hakuna kabisa options za kuweka kwa mobile payment

Helabet ipo ila nimekwenda kwenye page yao ya FB naona watu wanalalamika hela zao hazifiki ukideposit
Yaan cjui shida ni nn
 
Haya Twendeniii humu

****Bett responsibly
Screenshot_20240412-123233.png
 
Sasa mkuu laki9 ni jero?.
Lakitisa ata kwa wiki mi simalizi.
Lakini betting ni ndani ya 90dak wamesha ipiga.
🙌 mwisho wangu nili stake 90k ikapigwa inaniuma mpaka leo nikaacha saiv ni mwendo wa mega odds tu stake jero tukiendekeza tamaa ndio kuangukia pua
 
Hivi kati ya PARIPESA na HELABET ipo ambayo bado inafanya transactions kwa mobile parement za kibongo?

Naona wakala wangu 1xbet tumezinguana nataka niwajatibu hawa kwa wiki hii tu
Hb
 
Back
Top Bottom