Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumekucha hukooooooo

Thanks Betting trend imenikuta nimeishaoa kitaambo na kujenga but otherwise ningemfuata jamaa

Screenshot_20240412-153153.png
 
Mkuu naona Paripesa hakuna kabisa options za kuweka kwa mobile payment

Helabet ipo ila nimekwenda kwenye page yao ya FB naona watu wanalalamika hela zao hazifiki ukideposit
Nilikuwa sijaingia online leo, lkn nimefungua app kwangu naona kuna voda na airtel ila tigo hakuna
 
Back
Top Bottom