Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wenzenu wanaweka $200.
Wana bet mechi 3 (Arsenal, Real Madrid na Bayer Leverkusen). Odds zinakuwa 2.5

Anapata zake $500.

Wewe una bet kwa TZS 1,000. Kwa odds za 2.5 unapata TZS 2,500

Matokeo yake unaamua kuweka limkeka na mwisho mnaishia kulia Kila siku.
 
Helbet jana nmeangaika kutoa pesa inakataa, wamezngua ikabid niibetie nzima nzima ipotee tu juu kwa juu
Hao ndio tabia Yao, sometime unadeposit haifiki ukifuatilia wanasema waliirudisha kwako wakati hawakurudisha, mi walishanishinda
 
Uzi umekuwa kinyonge sana siku hizi! Au ndo athari za mabadiliko ya App ya JF? Binafsi updates za Jf App zimefanya nipotee humu na kuichukia JF mazima.
 
Attachments

  • 58DD5257-F181-4D38-94AA-F20336D00BA6.jpeg
    58DD5257-F181-4D38-94AA-F20336D00BA6.jpeg
    195.1 KB · Views: 6
Wenzenu wanaweka $200.
Wana bet mechi 3 (Arsenal, Real Madrid na Bayer Leverkusen). Odds zinakuwa 2.5

Anapata zake $500.

Wewe una bet kwa TZS 1,000. Kwa odds za 2.5 unapata TZS 2,500

Matokeo yake unaamua kuweka limkeka na mwisho mnaishia kulia Kila siku.
Hakuna sure ODDS
Hata odds 1 inaweza kuchana vilevile

Na hata hao wanapigika mnoo

Ila watu mnawaona kama miungu watu

Kuwin na high staking havihusiani
Waulize Mashabiki wa SIMBA

Screenshot_20240125-225959.png
 
Back
Top Bottom