Jamesdominic
JF-Expert Member
- Nov 26, 2022
- 549
- 732
We ambaye ujakulupuka umenunua range kwa njia ya betting?[emoji23][emoji23] betting nimchezo wa kula na kuliwa na ukiliwa unaliwa kisawa sawa.Acha ushamba kupoteza ni kawaida kwenye betting inaonesha umekurupukia hii kazi