Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kanji mbona leo unatufanyia hivi ac Milan analiwa kichapo Cha kutosha, huku liverkuku wanasusua
 
Ogopa sana group lilomutiwa anayepost ni admini tu shifuka huo ni utapeli...ili akiwapiga msiweze kusanuana , wanao nunua odd whatsap ni mazuzu
Hilo group linajulikana, la mida na huwa baadhi ya siku analiachia watu wanachat.
 
Kabla ya mechi ukiangalia unaona kabisa Liverpool anashinda na Arsenal anashinda ukijumuisha na uhitaji wa kila mtu kutaka kubeba taji la ligi! Ila sasa subiri zianze kucheza uone matokeo ndo haya ya leo ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Kuna siri kubwa kwenye hii tasnia ya betting si bure! Siku hizi hata kuchambua timu ni kupoteza muda tu
 
Bet for fun,nimeamini kanji konyo[emoji3][emoji3]
IMG_20240414_205148.jpeg
 
Back
Top Bottom