Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Hapo umesemacheza Uefa j4 na j5 achana na hawa wapuuzi wa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo umesemacheza Uefa j4 na j5 achana na hawa wapuuzi wa leo
Ubarikiweeeeee saaaaaaaaaana.💰 tumelipwa
Kumbuka kuna kundi hawakubali kushuka daraja, kuna kundi wanataka top 6 wanapambana juu chini wafike level ya kucheza UEFA ,UEROPA & UEROPA conf msimu ujaoKuipa timu Mazima siku hizi naona kama ni uchawi Kuna 1 over au 1.5 over twende na hizi ila isitokee draw 0-0 my friend ndo uchawi wenyewe huo [emoji1787]
Kumbe ni rahisi hivyo!!! Shikamoo mikekaWenzenu wanaweka $200.
Wana bet mechi 3 (Arsenal, Real Madrid na Bayer Leverkusen). Odds zinakuwa 2.5
Anapata zake $500.
Wewe una bet kwa TZS 1,000. Kwa odds za 2.5 unapata TZS 2,500
Matokeo yake unaamua kuweka limkeka na mwisho mnaishia kulia Kila siku.
Kabla ya game mkeka uko wapiKuna watu wanajua kuotea aisee!
View attachment 2963915
toa hizo game zenye odds za 1.02 na 1.03 kwanza kwenye huo mkeka, hizo odds za hovyo zinauchafua huo mkeka!Mawazo ni muhimu hapa wadau 👇👇 nibadirishe Nini au nani atoke
View attachment 2964983
poatoa hizo game zenye odds za 1.02 na 1.03 kwanza kwenye huo mkeka, hizo odds za hovyo zinauchafua huo mkeka!
Naunga Mkono Hojatoa hizo game zenye odds za 1.02 na 1.03 kwanza kwenye huo mkeka, hizo odds za hovyo zinauchafua huo mkeka!