Hamissi Sport
Member
- Apr 9, 2024
- 9
- 10
Kwa kipigo cha hivi hii nguvu unatoa wapi hata wenye timu 4 waliobet na wao wamepata kipigo haijaliahi mkeka una timu ngapiTunaomba mrebet mapema msichoke
Ogopa sana group lilomutiwa anayepost ni admini tu shifuka huo ni utapeli...ili akiwapiga msiweze kusanuana , wanao nunua odd whatsap ni mazuzu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vaa njumi ukacheze wewe..Rangers anazingua Sana [emoji1787][emoji23]
Bet For Fun, kila siku tunawaambia humu Betting sio biashara hamuelewi βBetting ni ngumu mno mazee nafikiria kujiuzulu nifanye mishe zingine aisee
Betting Sio kazi au mishe ya kufanya na kuitegemeaa.. Wewe tafutaa helaa huko ujee kuitupa kwenye betting ukiotea hata mara 1 sepaaaBetting ni ngumu mno mazee nafikiria kujiuzulu nifanye mishe zingine aisee
Hilo group linajulikana, la mida na huwa baadhi ya siku analiachia watu wanachat.Ogopa sana group lilomutiwa anayepost ni admini tu shifuka huo ni utapeli...ili akiwapiga msiweze kusanuana , wanao nunua odd whatsap ni mazuzu
Kwani hauna mishe nyingine?Betting ni ngumu mno mazee nafikiria kujiuzulu nifanye mishe zingine aisee
Niliacha kwa kitambo ila leo nataka nijaribu maana hizo ishu nyingine zenyewe zinabubaBetting ni ngumu mno mazee nafikiria kujiuzulu nifanye mishe zingine aisee
Umepata mtaji hongeraBet for fun,nimeamini kanji konyo[emoji3][emoji3]View attachment 2963739
π° tumelipwa
cheza Uefa j4 na j5 achana na hawa wapuuzi wa leoWadau naomba odd 10 zilizochambuliwa nimetoka kuliwa sasa hivi naitaji kurudisha pesa yangu