blackice2100
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,188
- 2,897
Duh inasikitisha sana yan kanji atupige na pia cc kwa cc tupigane dah inasikitisha sana kwaushauli mkuu bakia kwenye kampuni unatuma pesa kwa kampuni direct siyo mambo ya kupitia kwa mtu huwa ni ujingaWadau wa 1Xbet kuna huyu wakala anaitwa MILINGA ni dizaini ya matapeli,,, muwe makini naye!
Romano umemuacha mkuu au Chabuluma yuko vizuri nayeWadau wa 1Xbet kuna huyu wakala anaitwa MILINGA ni dizaini ya matapeli,,, muwe makini naye!
Nikajua ni 200mil 🤣🤣🤣🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Hahahaha daaah! Mkuu umebutua kopo la kombolela au😁😁😇😇🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Duhhhh aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥Diamond na wasafi yake nmembutua vibaya😅😅
Mwendo wa over 1.5 kipindi hiki cha mwisho wa leaguesKubet ni kazi ngumu sana iheshimiwe mammae!
Usijaribu Serie A na French league, utaumia vibayaMwendo wa over 1.5 kipindi hiki cha mwisho wa leagues
Hii game ya Al hilal Nina mashaka nayo Yan Al hilal anapigwa 4 - 1...magoli matatu Ni penalty [emoji1787][emoji23][emoji1787]