Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

HY1ZOKB
Betpawa

Stake what you can afford to lose 🙏
 

Attachments

  • E62A1CEB-8A23-4B6F-8C82-FB2B730006F5.jpeg
    108.6 KB · Views: 7
Wakuu kuna kampuni miyeyusho sana,jana nimediposit hela ikanasa hewani,nkawasiliana na mtandao husika wakasema hela yako itakwenda kweli masaa mawili wakatuma meseji,nacheki huko meridian hamna kitu,parangana nao jana hadi leo bado kimya. Big up bet power au sport pesa wakipata shida wakogo shuta sana kuzitatau,hawa jamaa sijui wakoje siku hizi. Miaka kumi m ni mteja wao ila nimekereka mpaka mda huu nafuta akaunti yao.maana mwaka jana nilideposit nkafatilia nkaona kero nkaacha ila sasa no mikeka yenyewe itutese na wao watutese Acha niachane nao
 
Hiyo shida haijawahi kupatiwa ufumbuzi huko meridian. Niliachana nao kwa scenario kama hiyo. Nilipoteza 10k mara ya kwanza then nikapoteza 5k second time nikaona huu upuuzi, nikafutilia mbali app yao.
 
Wacheki kwa Email , watakuona serious !! kule hauwasiliani na Vishanda ni Direct , ila Facebook au call ni jau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…