Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapo safi mkuu
Ni kukumbushana tu,kubet pesa yote ni risk sana
Kabisa kabisa mkuu, game ta mwisho niliweka under 4.5 ya milan vs inter, baada ya hapo nikakimbia kama mmasai. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nilianza na 17K, so namshukuru Mungu kwakweli.

Nimeweka code leo hapo juu ya basketball, jana ua juzi ya football watu wazijaribu, huwezi jua.
 
Screenshot_20240423-171002~2.png
 
Ivhi mhode wa 1xbet alibadili namba wakuu??
Mana ni kitambo yupo offline?
 
Wakuu sorry anaejua jinsi ya kuwasiliana na paripesa .
Nimedeposit hela kitamboo ila salio halisomi?
 
Itakuwa chini mnoo

Maana JKT na Young Africans wenye odds kubwa Mechi imeahirishwa,means inatolewa

But congratulations for the rest of matches
Jkt na young africans walikua na odd 1.3
Boss mimi nacheza odd 2-3 tu. Mkeka huu ulikua na odd 3. That means cha msingi nishinde slip yangu.
Asante kwa hongera yako. Karibu chamani.
 
Siwezi shindana na yee...
Siwezi pigana na yee!
Nanyosha mikono juu.... Mi Napigana na Code!
Napigana na Code! ...ooh napigana na Code!
NaShindana na Code!

Hakuna Chance inayopatikana kwenye Ndoto!
Usishindane na Ndoto!
Punguza makasiriko...pigana na code!...shindana na code!

8BD198
 
Attachments

UJINGA wa kanji bwana hata ukimwekea nyimbo za kuabudu hajali😅😅
anapita na mkeka pamoja huo wimbo😭😭😭
 
Vitu vingine ya ajabu kweli. Timu inawezaje kuwa na magoli mengi kuliko coner?

Juzi nikamwomba Bologna coner 4 akapata 2. Akashinda 3-1 dhidi ya roma.
 
Siwezi shindana na yee...
Siwezi pigana na yee!
Nanyosha mikono juu.... Mi Napigana na Code!
Napigana na Code! ...ooh napigana na Code!
NaShindana na Code!

Hakuna Chance inayopatikana kwenye Ndoto!
Usishindane na Ndoto!
Punguza makasiriko...pigana na code!...shindana na code!

8BD198
Ifike hatua choka mzee chokaaa.. utachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom