Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kwenye kubeti umesha kulaga kiasi gani kikubwa zaidiKubet mkeka wa game kumi handicap kwa jero ili ule laki 5 ni ujinga na utaliwa daily. Bet ushindi wa kawaida kwa timu tatu za uhakika, weka hela ya ukweli. Utakula siku zote...
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe kwenye kubeti umesha kulaga kiasi gani kikubwa zaidi
Siku zote hizi kampuni za kubashiri hujiusisha na mambo ambayo sio rasmi,ili wapate faida🙌Wadau hivi nataka kufahamu kanji Huwa anatumia nguvu za Giza kuchawia mikeka yetu ama 🤔 nataka nijue kama naliwa kihalali ama Kuna external force😂
🤣🤣🤣🤣Wadau hivi nataka kufahamu kanji Huwa anatumia nguvu za Giza kuchawia mikeka yetu ama 🤔 nataka nijue kama naliwa kihalali ama Kuna external force😂