Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

JKT vs YOUNG AFRICANS

Hii Mechi mara ya inawekwa mara inatolewa

Naona mida hii pia imetolewa options zoote

Sasa sijui huko Mbweni JKT mvua imenyesha tena au vipi

Jamaa JKT hawataki kutoa hata mia yao kukodi Chamanzi,milin 5 sio Poa🤣🤣🤣
 
CHAGUA ODDS 3 MPL 5 PITA NAZO
MAN UTD MPE OV 2.5 UHAKIKA
 

Attachments

  • 1713952652950.jpg
    1713952652950.jpg
    522.5 KB · Views: 4
AEL LIMASSOL GG&2.5
1.85
WOLVES OV 2 5
1.65
ZALAGRIS WIN &2+
1.70

WEKAMZIGO
 
BALI UTS WIN
ZALGRIS W
FSCB WIN
mACKCHAKALA W
MXB ALL UR MNY
 
Chsgua oďs
 

Attachments

  • Screenshot_20240424-131643_Chrome.jpg
    Screenshot_20240424-131643_Chrome.jpg
    248.9 KB · Views: 6
aVS HT FT
1/1
2.30

VFB OLDBENRG GG
1.60
AJAX GG
1.55

CLU BRUGGE
OV 2.5
1.55

WEKA MZIGOOO
 
Mana natia stake kubwa nakula vizuri tu ata mara tatu mfulilizo ila nkianza kuliwa mm naliwa mpka Hela yote ya faida na mtaji vinaisha Tena Kwa option ya over 0.5 ya odds 1.03
 
Wadau hivi nataka kufahamu kanji Huwa anatumia nguvu za Giza kuchawia mikeka yetu ama 🤔 nataka nijue kama naliwa kihalali ama Kuna external force😂
🤣🤣🤣🤣
Mdau unajua betting ni Sawa na kupiga Punyeto

Unamvitia Stim Wema Sepetu na unamtia Mimba kabisaa wakati yeye hata hakujui
Ukisikia Wema kachukuliwa na Whozu unamuacha na talaka na makasiriko juu,kisha unahama kwa JOKATE,ukisikia JOKATE amezaa unahama kwa Gigy Money

Sasa sio nguvu za kiza ila betting ni psychological oriented games
Yaani ukiwa na pesa uwezo wa kujiamini unazidi saaana,na ndio kupoteza kunazidi mnoo.

Ila ukiliwa sana akili zinatulia,
Kisha ni pale una stake na kuona pesa ndogo then tunaongeza teams Ili stake iwe unavyotaka wewe hapo ndio shida.

Muhim ni KuBET kimkakati,isiwe addicted.Ukiliwa just accept it and give it a time frame for another day to re-game .Ila ukiliwa na ukataka urejeshe pesa Yako ulioliwa aisee utachakaa,kuna mtu kapigwa laki 500,000 ndani ya wiki.

Select siku au mtaji wa betting kisha ukiisha tulia, subiria siku nyingine,kama unabeti through salary basi Tenga pesa maalum na isizidi otherwise huwezi Maisha mengine yataganda huku age inakatika.
Mie betting kwangu nimeitengea Fungu lake,yaani nilinunua Bodaboda BM125 HD 3,150,000 Hesabu yake ndio nafanyia betting,sigusi Mshahara Waka pesa ya Biashara Zangu nyingine

Ufupi hakuna nguvu za Giza,ila Shida mtu ukiwa na pesa unajiamini mnoo kupitiliza,ila pesa ikikata umakini unazidi mnoo.

So, unaliwa kihalali muhim Mdau ongeza umakini upunguze Vipigo.

All the Best Mdau
 
Wadau hivi one cut na flex kwny sportbet zinanichanganya mfano one cut naona Hela uliyostake inakuja kidogo sana mfano stake 100k afu one cut inakuja 3k😂 mmh hatari sana
 
Back
Top Bottom