Hapo safi mkuuNilishachukua maokoto yangu, ilifika 440000 jana nikatoa fasta.
Kabisa kabisa mkuu, game ta mwisho niliweka under 4.5 ya milan vs inter, baada ya hapo nikakimbia kama mmasai. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila nilianza na 17K, so namshukuru Mungu kwakweli.Hapo safi mkuu
Ni kukumbushana tu,kubet pesa yote ni risk sana
Wait for boom🔥🔥🔥
Nahisi wasapu walivyokuwa wanafungia unofficial whatsapp wakaishi naye.Ivhi mhode wa 1xbet alibadili namba wakuu??
Mana ni kitambo yupo offline?
Itakuwa chini mnooWait for boom🔥🔥🔥
Jkt na young africans walikua na odd 1.3Itakuwa chini mnoo
Maana JKT na Young Africans wenye odds kubwa Mechi imeahirishwa,means inatolewa
But congratulations for the rest of matches
UJINGA wa kanji bwana hata ukimwekea nyimbo za kuabudu hajali😅😅Siwezi shindana na yee...
Siwezi pigana na yee!
Nanyosha mikono juu.... Mi Napigana na Code!
Napigana na Code! ...ooh napigana na Code!
NaShindana na Code!
Hakuna Chance inayopatikana kwenye Ndoto!
Usishindane na Ndoto!
Punguza makasiriko...pigana na code!...shindana na code!
8BD198
Ifike hatua choka mzee chokaaa.. utachanganyikiwa.Siwezi shindana na yee...
Siwezi pigana na yee!
Nanyosha mikono juu.... Mi Napigana na Code!
Napigana na Code! ...ooh napigana na Code!
NaShindana na Code!
Hakuna Chance inayopatikana kwenye Ndoto!
Usishindane na Ndoto!
Punguza makasiriko...pigana na code!...shindana na code!
8BD198