Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

BET OF THE DAY
PARTIZAN WIN
1.30
AL HILAL WIN
1.45
IPSWITCH WIN OR DRW
1.25
MXB ALLUR MNY
 
pIGA ZILIZOBAKIA ALLDBEST
 

Attachments

  • 1714479989030.jpg
    63.4 KB · Views: 5
Du umebaki mkeka huu tu 🤔 nirudishe buku mbili yangu niliyo betia leo
 

Attachments

  • Screenshot_20240430-210118_SportyBet.jpg
    558.2 KB · Views: 5
Kuna jamaa katupia 5m kampa simba straight kaliwa
Aiseee jamaa amejiripua kwa Mapenzi yake na Simba
Sema Mimi Sina pesa,ila wapo watu wanaobet stake ya bei ya Kiwanja

Yeye anaijua Namungo Simba misim miwili hajamfunga na Majeruhi almost Nusu ya key players ni injuries.

Yaani kwa Team za Tanzania mwenye dhamana na Direct Win ni Young Africans tuuuu,huyo Azam mwenyewe hamna kitu
 
Hamna kitu kama hicho edit hizo hamna mtanzania anaweza kuweka kiwango hicho Kwa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…