Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa katupia 5m kampa simba straight kaliwaHawa simba watashinda kweli?
Nilichungulia majeruhi wa Simba nikasepa na over 1.5Hawa simba watashinda kweli?
Edit hizo wewe nani ampe simba Sasa hiviKuna jamaa katupia 5m kampa simba straight kaliwa
Aiseee jamaa amejiripua kwa Mapenzi yake na SimbaKuna jamaa katupia 5m kampa simba straight kaliwa
Hamna kitu kama hicho edit hizo hamna mtanzania anaweza kuweka kiwango hicho Kwa simbaAiseee jamaa amejiripua kwa Mapenzi yake na Simba
Sema Mimi Sina pesa,ila wapo watu wanaobet stake ya bei ya Kiwanja
Yeye anaijua Namungo Simba misim miwili hajamfunga na Majeruhi almost Nusu ya key players ni injuries.
Yaani kwa Team za Tanzania mwenye dhamana na Direct Win ni Young Africans tuuuu,huyo Azam mwenyewe hamna kitu
Tayari hioBayern Munich kwa mwendo huu muda sio mrefu atachomoa goal
Ila niliipa Mechi overall 1.5
Aisee Safi na kibao kimegeuka🤣🤣🤣Tayari hio