nimepita humu humu nilikochagua mwenyewekesho nimemalizana nayo namna hii
bado kuweka mkeka tuView attachment 2983857
We siku 3 tu...wengine miezi tunafanywa na kanjibahiSiku 3 hizi mhindi ananicharaza mfululizo mpaka nashangaa.
Tuweke shilingi ngapi stakeUJUMBE KUTOKA KWA MAWAKALA:-
Mkija kuweka pesa tunaomba mpunguze Kuja huku mmekunja Sura tafadhalini.
Young Africans Win and over 1.5👏👏👏👏
Tukutane kesho
Raha zaidi uwe unaiona livegame za live zina raha yake sana unausoma mchezo View attachment 2984285View attachment 2984286
SafiiiRaha zaidi uwe unaiona live
Mie baada ya PSG kupigwa tu nikajua Wings zao zitapeleka moto sio wa kawaida niliwahi Corners za PSG na kuunga mkeka.Zikafila corners 16
View attachment 2984383
SafiiRaha zaidi uwe unaiona live
Mie baada ya PSG kupigwa tu nikajua Wings zao zitapeleka moto sio wa kawaida niliwahi Corners za PSG na kuunga mkeka.Zikafila corners 16
View attachment 2984383
Aisee🔥🔥🔥Wakuu ninataka nijilipue 400k kwa gem mbili direct winn PSG na REal kesho nipeni ushauri maana muhindi kanipiga hii miezi miwili nina loss ya 3m aisee
Mpe Real to qualify na mpe young African ushindi, halafu tia mzigo utanishukuru baadaye.Wakuu ninataka nijilipue 400k kwa gem mbili direct winn PSG na REal kesho nipeni ushauri maana muhindi kanipiga hii miezi miwili nina loss ya 3m aisee
Mnatuchosha na nyie nao,hivi watu kama nyie bado mpo Mjini kweli?Wakuu je Hawa jamaa wanao UZA mikeka telegram ni wa kweli
Kazi kweli kweliWakuu je Hawa jamaa wanao UZA mikeka telegram ni wa kweli
Mkuu mi ni mkweli KaribuWakuu je Hawa jamaa wanao UZA mikeka telegram ni wa kweli
Hapana mkuu,Wakuu je Hawa jamaa wanao UZA mikeka telegram ni wa kweli
Mkimbie Kanji atakuua .Wakuu kwa unyenyekevu nakuja kwenu naombeni mbinu za kumpiga kanji hata kidogo, maana naliwa mwenzenu yaani kanji kanigeuza malaya wake ananifanya anavyotaka kila siku