Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MAXB
★ League: ZAMBIA 🇿🇲
★ Team : Green Buffalo - Nkana
★ FT - [ X ] 4.00

Probability❗️100% Secure 🇿🇲
UNAPODHURU WENGINE MAISHAN MWAOO USINIPITEEEEEE
CHABOOOOOOOOOOOM 💯
FT 0-0
 

Attachments

  • 1715874174248.jpg
    47.2 KB · Views: 2
Baada ya kupigwa ban ya siku 45 iam back tinajaribu

AFBB42 odd 1000
 
Treble ipi tena?
 
Umu mikeka mingi inachana sababu madali wa makampuni wamekuwa wengi kuliko.wachezaji
Ili isichabe unataka watu wafanyeje

Maana hakuna hata mmoja anaecheza hizo Mechi wala kichezeaha.

Hii ni KAMARI na Sifa kuunwa ya Kamari Bila kupepesa,Sifa yake kubwa ni Kufilisi Mali,Utu na Kuteka akili na ndio maana ukikomaa unakuwa Teja KAMARIAN.

Sasa ukicheza lazima kwanza uwe na Idea ya mambo ya Mpira,na ndioa maana anaejua mpira halalamiki saana hata akichaniwa.

Na mostly wengi humu huwa wakutuma codes,inatakiwa u Edit baadhi ya mechi kwa muono wako binafsi Ili Kupunguza uhatari wa kupoteza
Kumbuka hakuna mkeka Duniani wa uhakika,tatizo wengi tinakimbizia shida zetu na ndoto kuuubwa za kutoboa kimaisha kupitia Kamari then it ends up na stresses kibaoooo na vichapo vya kuliwa mara teleee.
Kulost a million au laki kwenye KAMARI can just take an hour,ila to set income ya ku regain hiyo lost bet uliopoteza inabidi usote pia.

Ukiona unaliwa sana just bet two times a week and mostly on weekends kila siku huonijakiwa uraibu tayari na kutoka ni ngum mnoo na Hali hiyo Inapunguza uwezo wa kufikiria na kufanya hata Ibada kwa kiwango kikubwa mnooo

Cheza kistaarabu,na usikubali kuuziwa mkeka katika Dunia hiii.

Hakuna wakala wa KANJI.
Hivi acheze Man United vs Everton wewe utampa Everton kisa man united mbovu? This is how betting is,play with options
 
Wakamaria tubustiane mtaji tumsake muhindi.

Maana sio kwa vipigo ninavyopokea no win.
 
Dormund 2+
Leverkussen w &2+
B.munich w or drw
plzen w
PParks1x
Barcelona w&2+
Radrick w
Celtic 2+
Slavia Prague w
Mxb
 
CEKTIC W
D.ZAGREB W
LECCE 2+
TORINO 2+
ADDO 2+
BB.MUNICH 2+
HORSENS W
AC ROMA U 19 W
MONACO W OR DRW
MXB
 

kwani wewe ndio dalali ndugu governor? povu si la kitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…