Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
UNAPODHURU WENGINE MAISHAN MWAOO USINIPITEEEEEEMAXB
★ League: ZAMBIA 🇿🇲
★ Team : Green Buffalo - Nkana
★ FT - [ X ] 4.00
Probability❗️100% Secure 🇿🇲
CHABOOOOOOOOOOOM 💯
FT 0-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNAPODHURU WENGINE MAISHAN MWAOO USINIPITEEEEEEMAXB
★ League: ZAMBIA 🇿🇲
★ Team : Green Buffalo - Nkana
★ FT - [ X ] 4.00
Probability❗️100% Secure 🇿🇲
CHABOOOOOOOOOOOOMMAXB
★ League: ZAMBIA 🇿🇲
★ Team : Green Buffalo - Nkana
★ FT - [ X ] 4.00
Probability❗️100% Secure 🇿🇲
We jamaa unajua sana17D6CD,528 odds, unaweka buku unapotea
Tia tu kaka,
1) Man U ni kimbonde Kwa Man City, pia Man City anawinda treble Tena
2) West Ham ndio atakaempa kombe Man City, anajua kabisa akilegeza tu Gunners kabeba so ataingia full mkoko.
3) Madrid na UEFA ni kama uji na mgonjwa, hakuna wa kuwatenganisha.
Dah nilichelewa kustake hapaMAXB
★ League: ZAMBIA 🇿🇲
★ Team : Green Buffalo - Nkana
★ FT - [ X ] 4.00
Probability❗️100% Secure 🇿🇲
Ili isichabe unataka watu wafanyejeUmu mikeka mingi inachana sababu madali wa makampuni wamekuwa wengi kuliko.wachezaji
PoaDormund 2+
Leverkussen w &2+
B.munich w or drw
plzen w
PParks1x
Barcelona w&2+
Radrick w
Celtic 2+
Slavia Prague w
Mxb
Ili isichabe unataka watu wafanyeje
Maana hakuna hata mmoja anaecheza hizo Mechi wala kichezeaha.
Hii ni KAMARI na Sifa kuunwa ya Kamari Bila kupepesa,Sifa yake kubwa ni Kufilisi Mali,Utu na Kuteka akili na ndio maana ukikomaa unakuwa Teja KAMARIAN.
Sasa ukicheza lazima kwanza uwe na Idea ya mambo ya Mpira,na ndioa maana anaejua mpira halalamiki saana hata akichaniwa.
Na mostly wengi humu huwa wakutuma codes,inatakiwa u Edit baadhi ya mechi kwa muono wako binafsi Ili Kupunguza uhatari wa kupoteza
Kumbuka hakuna mkeka Duniani wa uhakika,tatizo wengi tinakimbizia shida zetu na ndoto kuuubwa za kutoboa kimaisha kupitia Kamari then it ends up na stresses kibaoooo na vichapo vya kuliwa mara teleee.
Kulost a million au laki kwenye KAMARI can just take an hour,ila to set income ya ku regain hiyo lost bet uliopoteza inabidi usote pia.
Ukiona unaliwa sana just bet two times a week and mostly on weekends kila siku huonijakiwa uraibu tayari na kutoka ni ngum mnoo na Hali hiyo Inapunguza uwezo wa kufikiria na kufanya hata Ibada kwa kiwango kikubwa mnooo
Cheza kistaarabu,na usikubali kuuziwa mkeka katika Dunia hiii.
Hakuna wakala wa KANJI.
Hivi acheze Man United vs Everton wewe utampa Everton kisa man united mbovu? This is how betting is,play with options