Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unashauri afanye nini afanikiwe kama hao walifeli au haiwezekani kabisa.
 
Hawa jamaa hua wanafanyaje aisee nasisi sijui tunakwama wapi.
 

Attachments

  • 20240520_150300.jpg
    123.2 KB · Views: 8
Soon betpawa ataweka washindi waliopiga mipunga mizito mizito
 
Kila mtu na bahati yake ngoja niendelee na utaratibu wangu kwa sababu mimi naona unalipa
 
Shukuran sana mkuu ila kiukweli betting ni kazi ngumu sana hatuna namna kwa sababu kuna muda inatuweka mjini ngoja tuendelee nayo hivo hivo
Amini ndugu ata mm nliwaza km ww Yani wikiendi ijumaa jmos na jpili ligi zikirud odd 1.25-1.29 natia 500k faida 100k ko Kwa wiki niingize 300k+ na mfumo nliojiekea nimeona nitembee na upepo wa magoli Kwa ligi za EPL na bundesliga mana zinatoa sana magoli ko ni over 0.5 na 1.5. NB najua betting ilivo ngumu ila ni swala la upepo tu mana Kwa wiki ntabet mara tatu tu ijumaa jmos na jpili ambapo Kuna mechi nyingi ko natafuta ligi zinazotoa magoli sana mfano EPL na bundesliga pia uturuki kama akicheza Galatasaray au fernabache pia uholanzi ko gemu 2 mpka 3 tu za over 1.5 zilete odd 1.25 Hadi 1.29 ambapo Kwa stake ya 500k ije 600k+ ko faida 100k+. Liwalo na liwe tu acha nitembee na upepo wa magoli tu msimu ujao 2024/2025
 
Pia umu tuache mambo ya kukatisha watu tamaa mfano unakuta mtu kastake 1M odd 1.10+ apate 100k afu watu wanakuja juu ooh stake kubwa sijui unarisk milion Kwa laki upate laki akat yeye kastake mkeka wake wa 10k odd 10 ale laki na ana matumain makubwa. Sasa sikia betting ni mchezo wa mahesabu unaenda na probability ( uwezekano) kadri timu zinavoongezeka kwny mkeka na odds zinavoongezeka ndivo uwezekano unapungua na kadiri timu zinavokua chache na odd ndogo basi uwezekano unakua mkubwa ndomana Kuna watu Wana risk 1M wale laki tu kwasababu betting au formula ilivo ni kurisk kubwa upate chochote kitu. Ko kama we huez kustake pesa ndefu upate chochote kitu basi kausha kmya mana pesa sio Yako anayeliwa n aliyestake . Sasa mtu anaanza kusema sijui stake kubwa afu na yeye anabeti Bora anambie mtu ambaye habeti kwamba stake kubwa sana afo faida kidogo
 
Shukuran sana mkuu ila kiukweli betting ni kazi ngumu sana hatuna namna kwa sababu kuna muda inatuweka mjini ngoja tuendelee nayo hivo hivo
Sure,
Maana mie mwenyewe nipo sana kwenye options ya Corners ma Bookings hasa hapa mwisho wa msim ambapo direct Win zinakuwa Tata na matokeo yanapangwa mnoo hasa kwenye kushuka Daraja baadhi ya Teams.

Option Yako niliwahi kuijaribu kwa laki Moja,ila kuna kipindi nilipiga round hapo hapo mpaka basi,naona siendi,maana ukila hapo unaingiza haizido Buku kumi,so ukipigwa unapigwa ya wiki nzima na.
But most of the time ina Tick,nikahamia kwenye Odds 2 kuanzia 20,000 hii good that atleast budget ya kula inapatikana.

Hembu Karibu pia options ya matches zenye Corners under 6.5 SPORTBETY au Betika,huwa odds zipo vizuri na zinatoa saana kuliwa ni possibility ndogo mnoo,sema tu huwa nachanganya na options nyingine mwisho chwaaaa

Corners Zangu leo zinaendelea hivi
 
Najua maumivu ya kuliwa Hela Kwa odd ndogo mfano nshaliwa 100k zaidi ya mara mbili Kwa odd 1.02 au 1.03 tu ya over 0.5 lakin bore hivo kuliko niliwe pesa kubwa afu nlieka under 0.5 odd 10+ ni Bora kusubiri goli kuliko kuzuia. Na katka maisha yangu ya kubeti sehemu kubwa ya mikeka nliokula ni ya high stakes 100k au 200k stake kwenye odds 2 tu sijawahi zidisha apo mana nlivoanzaga kustake vibuku buku jero au nkijilipua sana 5k afu naeka odds kibao Nile 100k mpka 300k uko lakinnaambulia patupu Kwa sababu mahesabu ya probability yananiumbua tu unakesha kusaka odds weeee afu unaliwa . Lakn nkistake high odd 1-2 tu ntapata kirahisi( kiuwezekano mkubwa ) mfano gemu ya man city over 1.5 Ina odds 1.10+ apa ukitia milion una 100k Yani mechi Moja tu magoli mawili tu yanakupa laki . Lakn mwngne kaeka buku ko anaitaji odds 100 ili ale laki ko nazan mwnyw unaona mwnyw uwezekano mkubwa sana wa kula ni yupi. N.B sio kwamba kustake high odd ndogo haichani inaweza ikachana vizuri sana tu Kwa vile wote apa kwny hili jukwaa tunabeti sio ishu kubwa ko apo ww mwnyw tu kama huwezi kurisk ni ww tu mana Kila mtu anabeti Kwa njia zake na Imani yake . Mwengne Imani yake ni weka kidogo upate kikubwa yan buku upate laki na mwengne Imani yake ni weka kikubwa upate kidogo Yani milion upate laki. Ko Kila mtu anabeti kivyake anavojisikia mana Hela ni ya kwake . Ushauri wa pekee Kwa wakamalia ni beti unachomudu kukipoteza , beti kistaarabu hakuna 100% win Bali unaeza kuta soko flani Lina 99% ya kutokea mfano over 0.5 FTgemu ya Bayern au man city Kwa vile Bayern na man city wanauwezo mkubwa wa kufunga ko uwezekano wa mechi zao kuisha 0-0 ni 1% NB gemu inaeza Isha 0-0 Kwa vile 1% ya kutokea under 0.5 inaeza ikatokea ko Kila mtu na upepo wake tu. Asanteni
 
Kweli mkuu Kuna jamaa nimeona kwenye kampuni ya kubet kwa jana karisk mil 4,187,000 ila katengeneza mil 16.9+. Tuache kukatishana tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…