Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashauri afanye nini afanikiwe kama hao walifeli au haiwezekani kabisa.Nimejaribu kuangalia umejiunga lini Hili. Group kumbe juzi tu
Fungua au browser humu utakuta kuna watu weeengi mnoo walikuwa na mfumo huo Tena odds 1.10 to kwa stakes mpaka za 500,0000,walipotea kama Wametoka na Dem Guest za mtaani.
Ni njia hiyo watu karibia 80% wameishaitumia na kupotee kimya kimya wenye kujikaza walirudi humu na kuishia kutukana teams tu, Is not a new strategic betting set up ila Hesabu zake ni Rahisi mnoo on paper
Noma sanaHawa jamaa hua wanafanyaje aisee nasisi sijui tunakwama wapi.
Kila mtu na bahati yake ngoja niendelee na utaratibu wangu kwa sababu mimi naona unalipaNimejaribu kuangalia umejiunga lini Hili. Group kumbe juzi tu
Fungua au browser humu utakuta kuna watu weeengi mnoo walikuwa na mfumo huo Tena odds 1.10 to kwa stakes mpaka za 500,0000,walipotea kama Wametoka na Dem Guest za mtaani.
Ni njia hiyo watu karibia 80% wameishaitumia na kupotee kimya kimya wenye kujikaza walirudi humu na kuishia kutukana teams tu, Is not a new strategic betting set up ila Hesabu zake ni Rahisi mnoo on paper
Hao Mdau huwa hawapost kabla ya MechiHawa jamaa hua wanafanyaje aisee nasisi sijui tunakwama wapi.
All the best Bro,nilitoa tu Tahadhari 👏👏👏Kila mtu na bahati yake ngoja niendelee na utaratibu wangu kwa sababu mimi naona unalipa
Shukuran sana mkuu ila kiukweli betting ni kazi ngumu sana hatuna namna kwa sababu kuna muda inatuweka mjini ngoja tuendelee nayo hivo hivoAll the best Bro,nilitoa tu Tahadhari 👏👏👏
Mold na bodoe glimit. Wamepita na jamvi shwaaa timu zingine buana8C8A9D. Odds 400
6E2F76. Odds 50
Zakuambiwa changanya na zako! edit tia mzigo
Amini ndugu ata mm nliwaza km ww Yani wikiendi ijumaa jmos na jpili ligi zikirud odd 1.25-1.29 natia 500k faida 100k ko Kwa wiki niingize 300k+ na mfumo nliojiekea nimeona nitembee na upepo wa magoli Kwa ligi za EPL na bundesliga mana zinatoa sana magoli ko ni over 0.5 na 1.5. NB najua betting ilivo ngumu ila ni swala la upepo tu mana Kwa wiki ntabet mara tatu tu ijumaa jmos na jpili ambapo Kuna mechi nyingi ko natafuta ligi zinazotoa magoli sana mfano EPL na bundesliga pia uturuki kama akicheza Galatasaray au fernabache pia uholanzi ko gemu 2 mpka 3 tu za over 1.5 zilete odd 1.25 Hadi 1.29 ambapo Kwa stake ya 500k ije 600k+ ko faida 100k+. Liwalo na liwe tu acha nitembee na upepo wa magoli tu msimu ujao 2024/2025Shukuran sana mkuu ila kiukweli betting ni kazi ngumu sana hatuna namna kwa sababu kuna muda inatuweka mjini ngoja tuendelee nayo hivo hivo
Wakuu hii SPORTBET maximum pay out ni sh ngapi? Yaweza kuwa editing hiiHawa jamaa hua wanafanyaje aisee nasisi sijui tunakwama wapi.
Sure,Shukuran sana mkuu ila kiukweli betting ni kazi ngumu sana hatuna namna kwa sababu kuna muda inatuweka mjini ngoja tuendelee nayo hivo hivo
100 millionsWakuu hii SPORTBET maximum pay out ni sh ngapi? Yaweza kuwa editing hii
Hongera😋😋😋😋, Ndoto ya kila mzee wa kubet...
View attachment 2995494
Kweli mkuu Kuna jamaa nimeona kwenye kampuni ya kubet kwa jana karisk mil 4,187,000 ila katengeneza mil 16.9+. Tuache kukatishana tamaaPia umu tuache mambo ya kukatisha watu tamaa mfano unakuta mtu kastake 1M odd 1.10+ apate 100k afu watu wanakuja juu ooh stake kubwa sijui unarisk milion Kwa laki upate laki akat yeye kastake mkeka wake wa 10k odd 10 ale laki na ana matumain makubwa. Sasa sikia betting ni mchezo wa mahesabu unaenda na probability ( uwezekano) kadri timu zinavoongezeka kwny mkeka na odds zinavoongezeka ndivo uwezekano unapungua na kadiri timu zinavokua chache na odd ndogo basi uwezekano unakua mkubwa ndomana Kuna watu Wana risk 1M wale laki tu kwasababu betting au formula ilivo ni kurisk kubwa upate chochote kitu. Ko kama we huez kustake pesa ndefu upate chochote kitu basi kausha kmya mana pesa sio Yako anayeliwa n aliyestake . Sasa mtu anaanza kusema sijui stake kubwa afu na yeye anabeti Bora anambie mtu ambaye habeti kwamba stake kubwa sana afo faida kidogo
Nashukuru mkuu na betway ni kiasi gani?100 millions