Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwani nikimpa muhindi si yangu wewe inakuuma nini mzee mbona kama umedata pesa sio Yako umekazana๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
sasa unakuja kujieleza nini eti wangwana wakushauri ๐Ÿคฃ

akati kuweka buku2 ni kwa mbinde ๐Ÿคฃ
 
sasa unakuja kujieleza nini eti wangwana wakushauri ๐Ÿคฃ

akati kuweka buku2 ni kwa mbinde ๐Ÿคฃ
Mzee naona kama umedata naomba ushauri wa hizo games Kwa wadau wewe unaleta mambo ya kulima yaani kama umechanganyikiwa Fulani hivi thread inaeleza vingine wewe unaleta mambo ya kulima ngosha acha zako bhana sio Kila mtu afanye hizo mishe ukilima wewe inatosha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mzee naona kama umedata naomba ushauri wa hizo games Kwa wadau wewe unaleta mambo ya kulima yaani kama umechanganyikiwa Fulani hivi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
si naona wenzio wanavyo changanyikiwa mtaani, naona na wew unavyolazimisha kupigwa na muhindi halafu matokeo yake ujirushe ghorofani, tuanze kusema ni afya ya akili kumbe umenyooshwa na muhindi ๐Ÿคฃ
 
si naona wenzio wanavyo changanyikiwa mtaani, naona na wew unavyolazimisha kupigwa na muhindi halafu matokeo yake ujirushe ghorofani, tuanze kusema ni afya ya akili kumbe umenyooshwa na muhindi ๐Ÿคฃ
Pesa ndogo sana hii ila Kwa masikini kama wewe lazima uione nyingi yaani nichanganyikiwe kisa ki million 1 mbona kawaida kuliwa million 1 k
 
Pesa ndogo sana hii ila Kwa masikini kama wewe lazima uione nyingi yaani nichanganyikiwe kisa ki million 1 mbona kawaida kuliwa million 1 k
Yes,
inafahamika pesa yako ndogo sana, lakini imekufurukuta moyo weee mpaka ukaamua kuiandikia na uzi kabisa dah ๐Ÿคฃ
 
Yes,
inafahamika pesa yako ndogo sana, lakini imekufurukuta moyo weee mpaka ukaamua kuiandikia na uzi kabisa dah ๐Ÿคฃ
Embu weka screenshot ya Salio kama Hilo tu nione naongea na mtu wa aina Gani maana naona tunapoteza mda wengine sio watu wa kubishana mambo ya kitoto
 
Embu weka screenshot ya Salio kama Hilo tu nione naongea na mtu wa aina Gani maana naona tunapoteza mda wengine csio watu wa kubishana mambo ya kitoto
nimeona jamaa yako kakupa matumaini ya kupigwa na muhindi dah, aise ๐Ÿคฃ
 
kwani mie wewe?

mie niache kuhangaika na wananchi nibabaike kumnufaisha muhindi, kweli? kwamba nishindane na wewe kumpa muhindi ulaji ๐Ÿ’๐Ÿ’
Mzee maneno mengi ya nini weka Salio hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ—“ Today's Tips | Tuesday.

๐Ÿšจ Select 4-5 Games and Maxbet. Do not Stake as an accumulator.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba Vs JKT Tanzania.
โžก๏ธ Home win.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Singida Vs Kagera Sugar.
โžก๏ธ Home win.

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Ceramica Vs Makadi.
โžก๏ธ Over 1.5 Goals.

๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น Babrungas Vs Hegelman.
โžก๏ธ Over 1.5 Goals.

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ SJK Akatemia Vs Mikkeli.
โžก๏ธ Home win either halves.

๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช Gagra Vs Iberia 1999.
โžก๏ธ Over 1.5 Goals.

๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ช Telavi Vs Samtredia.
โžก๏ธ Home or Away win.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Aluminum Arak Vs Sepahan.
โžก๏ธ Away win or draw.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Esteghlal F.C Vs Gol Gohor.
โžก๏ธ Home Win.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Shams Azar Vs Persopolis.
โžก๏ธ Under 3.5 Goals.

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Tractor Vs Malavan.
โžก๏ธ Home win or Draw.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Al Arabi Vs Al Bukayriyah.
โžก๏ธ Over 1.5 Goals.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Malmo Vs Elfsborg.
โžก๏ธ Home win either halves.

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Smouha Vs La Viena.
โžก๏ธ Home win or Draw.

๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ ZED Vs El Daklyeh.
โžก๏ธ 1X & Un 4.5 Goals.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Qadisiya Vs Al Safa.
โžก๏ธ Home win or Draw.

๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad Vs Ol. De Safi.
โžก๏ธ Home win or draw.

๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ Al Faisaly Vs Al Orubah
โžก๏ธ Over 1.5 Goals.

๐Ÿ† Atletico MG V Caracas.
โžก๏ธ HT Ov 0.5 Goals.

๐Ÿ† Penarol Vs Rosario Central.
โžก๏ธ Home win or draw.

๐Ÿ† Argentina Juniors Vs Nacional Asuncion.
โžก๏ธ Home win either halves.

๐Ÿ† Corinthians Vs Racing Montevideo.
โžก๏ธ Home or Away Win.

๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ผ๐Ÿ’ผ To join our Premium Channel for SURE 100% Odds.
Contact Admin - 0810 462 6294

๐Ÿ™ Help us grow by following us and sharing our posts.

โค๏ธ Give us 50 reactions for tomorrow's Tips ๐Ÿ”ฅ
 
AL AIN GG
NAC BREDA 2+
MALMO 1X
A.VIENNA 2+
KALJU FC 2+
START 2+
GAGRA 2+
Sjk 2+
mxb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ