Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kwani nikimpa muhindi si yangu wewe inakuuma nini mzee mbona kama umedata 🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa ushauri wa nini unaomba,
si ung'angane kumpatia muhindi launch nzuri ilonona bila kuomba ushauri 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nikimpa muhindi si yangu wewe inakuuma nini mzee mbona kama umedata 🤣🤣🤣🤣🤣🤣sasa ushauri wa nini unaomba,
si ung'angane kumpatia muhindi launch nzuri ilonona bila kuomba ushauri 🐒
sasa unakuja kujieleza nini eti wangwana wakushauri 🤣Kwani nikimpa muhindi si yangu wewe inakuuma nini mzee mbona kama umedata pesa sio Yako umekazana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzee naona kama umedata naomba ushauri wa hizo games Kwa wadau wewe unaleta mambo ya kulima yaani kama umechanganyikiwa Fulani hivi thread inaeleza vingine wewe unaleta mambo ya kulima ngosha acha zako bhana sio Kila mtu afanye hizo mishe ukilima wewe inatosha🤣🤣🤣🤣sasa unakuja kujieleza nini eti wangwana wakushauri 🤣
akati kuweka buku2 ni kwa mbinde 🤣
si naona wenzio wanavyo changanyikiwa mtaani, naona na wew unavyolazimisha kupigwa na muhindi halafu matokeo yake ujirushe ghorofani, tuanze kusema ni afya ya akili kumbe umenyooshwa na muhindi 🤣Mzee naona kama umedata naomba ushauri wa hizo games Kwa wadau wewe unaleta mambo ya kulima yaani kama umechanganyikiwa Fulani hivi🤣🤣🤣🤣
Pesa ndogo sana hii ila Kwa masikini kama wewe lazima uione nyingi yaani nichanganyikiwe kisa ki million 1 mbona kawaida kuliwa million 1 ksi naona wenzio wanavyo changanyikiwa mtaani, naona na wew unavyolazimisha kupigwa na muhindi halafu matokeo yake ujirushe ghorofani, tuanze kusema ni afya ya akili kumbe umenyooshwa na muhindi 🤣
Hizo game mbili zinacheza Leo pekee, mtoe real Madrid ziwekee hizo zilizobakiKama kichwa Cha habari kinavyosema wadau vipi hapa nataka kuweka million 1 mnayoona hapo nitataboa kweli wadau naombeni ushauri
Pamoja sanaHizo game mbili zinacheza Leo pekee, mtoe real Madrid ziwekee hizo zilizobaki
WekamzigooomkuuKama kichwa Cha habari kinavyosema wadau vipi hapa nataka kuweka million 1 mnayoona hapo nitataboa kweli wadau naombeni ushauri
Yes,Pesa ndogo sana hii ila Kwa masikini kama wewe lazima uione nyingi yaani nichanganyikiwe kisa ki million 1 mbona kawaida kuliwa million 1 k
Embu weka screenshot ya Salio kama Hilo tu nione naongea na mtu wa aina Gani maana naona tunapoteza mda wengine sio watu wa kubishana mambo ya kitotoYes,
inafahamika pesa yako ndogo sana, lakini imekufurukuta moyo weee mpaka ukaamua kuiandikia na uzi kabisa dah 🤣
nimeona jamaa yako kakupa matumaini ya kupigwa na muhindi dah, aise 🤣Embu weka screenshot ya Salio kama Hilo tu nione naongea na mtu wa aina Gani maana naona tunapoteza mda wengine csio watu wa kubishana mambo ya kitoto
Kelele za nini weka screenshot ya pesa kama hiyo tu mzeenimeona jamaa yako kakupa matumaini ya kupigwa na muhindi dah, aise 🤣
kwani mie wewe?Kelele za nini weka screenshot ya pesa kama hiyo tu mzee
Mzee maneno mengi ya nini weka Salio hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwani mie wewe?
mie niache kuhangaika na wananchi nibabaike kumnufaisha muhindi, kweli? kwamba nishindane na wewe kumpa muhindi ulaji 🐒🐒
Hapana mkuu napapenda kibaha sana natamani kuja kuwa na kamji hukonaona unaelekea kuniita dalali sasa ivi 🐒
Pesa ya mwanaume mwenzako usiitolee macho utaliwa kiboga toa pesa upate pesa bet haina uwogaUsije ukaanza kulia, achana na kubeti