Dah..😂We Mtanzania
Taifa Stars inashinda halafu umenuna🤣🤣🤣🤣
KAMARI shkamoo
Vp mkuu ilitoa???ukitazama hizo screenshots. original betslip yangu waliyoremove ina uwezekano mkubwa wa kuwin kuliko waliyoniwekea ambayo sikuiweka. waliyoniwekea ina uwezekano mkubwa wa kuchana kuliko kuwin. nina wasiwasi kabisa betslip waliyoniwekea itachana tu
option ya powerbet haifai, ya kiwizi. usiitumie.
Kuna kitu ujakijua boss,,kabla ya kuklick huwa wanaonyesha kabisa kuwa uki power hiyo bet yako wao wanaiweka hivyo,kwa hiyo ni jukumu lako kukubali au kuacha.Hiyo tunacheza sana kwenye basket.ukitazama hizo screenshots. original betslip yangu waliyoremove ina uwezekano mkubwa wa kuwin kuliko waliyoniwekea ambayo sikuiweka. waliyoniwekea ina uwezekano mkubwa wa kuchana kuliko kuwin. nina wasiwasi kabisa betslip waliyoniwekea itachana tu
option ya powerbet haifai, ya kiwizi. usiitumie.
iko live, bado haijaishaVp mkuu ilitoa???
mpira umekwisha. mkeka walionibadilishia umekuwa refundud, stake ya 484 (siyo 515 tena) imerudishwa.Vp mkuu ilitoa???
Nenda Parimatch. Hakuna huo ujinga!mpira umekwisha. mkeka walionibadilishia umekuwa refundud, stake ya 484 (siyo 515 tena) imerudishwa.
mkeka wangu waliouondoa umewin, huu ni udhulumati.
sijawahi kuona option ya kukulinda eti bookmaker anakubadilishia option halafu anapunguza na stake yako. kama ulistake 1,000 option ya over 1.5, basi bookmaker anajidai anakulinda anaondoa mkeka wako anaweka wa over 2.5 halafu stake anaweka 950, hii siyo sawa.
akaunti ya parimatch ninayo. changamoto yao wanazidiwa option na 1xbet.Nenda Parimatch. Hakuna huo ujinga!
Usisahau a bird in hand worth two in bush. Bora Parimatch wa uhakika kuliko hao ambao ubembeleze. Lakini mwisho wa siku, uchaguzi ni wako.akaunti ya parimatch ninayo. changamoto yao wanazidiwa option na 1xbet.
nimeshajifunza kosa nililofanya leo, siku nyingine wakileta powerbet yao, naikataa.
poapoa mkuuUsisahau a bird in hand worth two in bush. Bora Parimatch wa uhakika kuliko hao ambao ubembeleze. Lakini mwisho wa siku, uchaguzi ni wako.
Bila kuchokaDu!...Hivi hii mechi kumbe Bado Inaendeleaga tu!!?
Lakini kwenye leseni ya uwakala,Wazee wa kubeti mnamsikia waziri kwenye bajeti?!
10% kwenye betting Kodi imeongezwa huko
Ila cmc konyo
Duhh AiseeWazee wa kubeti mnamsikia waziri kwenye bajeti?!
10% kwenye betting Kodi imeongezwa huko
Ila cmc konyo
Kama imeahirishwa tena ndani ya 24 Hours basi leo leo pesa Yako inaingia na mechi hiyo inakuwa VOIDWakuu hivi helabet awanaga cash out mana kunakamkeka changu kamebakiza timu Moja ya mchezo wa tennis ilipaswa ichezwe Jana saa 18:30 jioni lakini aikuchezwa Jana imeletwa Leo saa 19:00 usiku lakini nimeifatilia yaonesha aikuchezwa Tena Leo naona bora nichukue kilichopo mana kwa hii situation naona kanji anampango wa kando atanipiga na kitu kizito