ck utayoweka under 3 watu wanapigana 5 [emoji1] [emoji1] huu mchezo bhanaDawa ya epl ni kucheza under 3
Man City anakufa leo
Haaaaaa, jamaa angejua tunavyomchukia lkn hatukomiqumar dhandra nimepishana nae amenunua mafuta ya kupaka kwenye ndevu zake baada ya makusanyo ya kutosha kutoka kwa wale tulio chaniwa mikeka.
inapanda na kushuka mkuu....kwangu iko poamkuu sever error kwako imesepa?
Si kwa vipigo ivi jamaniView attachment 381083
Kwa kiingilio kipi sasaPole sana kesho nayo siku
Si kwa vipigo ivi jamaniView attachment 381083
Kwa nini mkuu? Kesho kuna wajapan wanatoa sana hio ten minutes x.option ya 10 minitus ni risk mbaya
Mungu ashukuliwe ....karoho kalikua juu juuCity