Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Netherlands vs Germany
-Corners over 6.5 ✓
- Bookings/ Cards over 2.5 ✓

Bado nipo salama huko mbele mtajuana wenyewe

Nafasi ya pili German vs Spain weeeeeee
 
👏👏👏👏👏👏👏

2 Odds za afya tulioenda pamoja zimetick
 
MAAFISA UBASHIRI HABARI ZA WAKATI HUU tafadhali naomba msaada wa site au app inayofanya prediction ya mpira hasa matokeo ya mechi au magoli n.k



NOTE
Sio wale matapeli wa correct score
 
⚽ Monday's Betting Tips ⚽

🌍 Albania 🆚 Spain
🕑 Monday, 24.06.2024
🚨 Prediction: 2️⃣ & first Team to Score Albania

🌍 Croatia 🆚 Italy
🕑 Monday, 24.06.2024
🚨 Prediction: 2️⃣ & 1st Half Draw

🌍 Colombia 🆚 Paraguay
🕑 Tuesday, 25.06.2024
🚨 Prediction: 1️⃣

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

❓ stake iwe kubwa sasa ,twende kazin
 
Hahaa sema odd zao zinachana utafikiri wameziroga ni nzuri hasa ukiediti kidogo
Bora 1xbet unawaambia una stake ya bei gani kama football, hockey au netball na unataka kushinda sh ngapi na kuanzia muda gani wao wanakuletea mkeka ushasukwa, na ukitaka kupunguza mechi ni wewe tu.
 
Bora 1xbet unawaambia una stake ya bei gani kama football, hockey au netball na unataka kushinda sh ngapi na kuanzia muda gani wao wanakuletea mkeka ushasukwa, na ukitaka kupunguza mechi ni wewe tu.
Unawaulizaje?
 
Unawaulizaje?
1. Fungua app
2. Nenda bet slip
3. Chagua create betslip
4. Ingiza stake kwa juu
5. Ingiza kiasi unachotaka kushinda
6. Bonyeza "select time until events start" chagua muda ambao mechi zitaanza
7. Kwenye betsli type chagua aina kama ni single, treble, mechi 4 au 8. Chagua aina ya michezo
9. Chagua option kama ni total nk kisha place bet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…