Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏👏👏👏👏Hakuna Sure Odds,ingekuwa hivyo Makampuni yasingekuwepo
Kabla ya kuingia kwenye KAMARI inabidi ujue kwamba huku sio sehem sahihi ya kutoboa kimaisha, probability ipo mbaya huku otherwise ukija na mindoto Yako utapoteza pesa nyingi mpaka akili itapotea
Unaanza KuBET huku kabisa unapoteza kwamba Jina Bahati nasibu hulijui
Chukua ODDS mbili hizo ukuze akili,usije kuibiwa Mjini hapa
2 ODDS
CODE:- 141E8DD
SPORTBETY:
View attachment 3023862
SB wana market ambayo unaweka stake kwamba mchezaji fulani atapiga shoot kadhaa on target?Tujaribu na humu, 1347C0 SB.
SB wana market ambayo unaweka stake kwamba mchezaji fulani atapiga shoot kadhaa on target?
www.superbetpredictions.comMAAFISA UBASHIRI HABARI ZA WAKATI HUU tafadhali naomba msaada wa site au app inayofanya prediction ya mpira hasa matokeo ya mechi au magoli n.k
NOTE
Sio wale matapeli wa correct score
Ipo,ila kwa matches kubwa tuuuSB wana market ambayo unaweka stake kwamba mchezaji fulani atapiga shoot kadhaa on target?
Mfano Ikay gondogan over 0.5 SoT(shoot on target) kwa odds ya 2.5?
Baada ya kupekua nimeona.Ipo,ila kwa matches kubwa tuuu
Mfano hizi za Euro option hiyo ipo
Bora 1xbet unawaambia una stake ya bei gani kama football, hockey au netball na unataka kushinda sh ngapi na kuanzia muda gani wao wanakuletea mkeka ushasukwa, na ukitaka kupunguza mechi ni wewe tu.Hahaa sema odd zao zinachana utafikiri wameziroga ni nzuri hasa ukiediti kidogo
Unawaulizaje?Bora 1xbet unawaambia una stake ya bei gani kama football, hockey au netball na unataka kushinda sh ngapi na kuanzia muda gani wao wanakuletea mkeka ushasukwa, na ukitaka kupunguza mechi ni wewe tu.
Nenda football predictions co uhakika sana
1. Fungua appUnawaulizaje?