gammaparticles
JF-Expert Member
- Jan 9, 2024
- 1,407
- 3,855
Subiri, utatokea mlango mwingineIpi?
🤣🤣😂🤣😂 Huku ni pamoto mamaSielewi naomba mnifunze nile mema ya nchi
Nifundishe best🤣🤣😂🤣😂 Huku ni pamoto mama
Nakufundisha tena bureeee kabisa wewe tu!Nifundishe best
Cjui kwanin but always nikitoa odds kumpa mtu lazima ni lose mkekaAaah pamoja comrades...kesho tukutane hapa tupeane odds kadhaa
🤣😂🤣😂 mimi toka juzi natoa odds na watu wanashinda!Cjui kwanin but always nikitoa odds kumpa mtu lazima ni lose mkeka
Sema betting usipokuwa na tamaa muhindi lazima alie😅😂😂View attachment 3035286Bado game moja nivute mpunga
Kwa hii comment nimeamini rinder kwenye ukoo wenu ni adimu sanaKabisa huu ni uzi wa kipumbavu, na naona mpumbavu mwenzetu umeufungua na umechangia...tuendeleze upumbuvu wetu mpumbavu mwenzangu🤣😂🤣😂
Au sio KAZA MTOTO WA KIUMEWaarabu wa pemba tumejuana kwa vilemba
Stake laki 6 unapata elfu 10 hiyo akili au matope?Wewe ndio huna akili mwenzio kashaingiza pesa endelea kubeti hero hero mzee halafu hapo mwenzio kacheza ticket mbili game Moja
Tafuta hela mzee umasikini unakusumbuaStake laki 6 unapata elfu 10 hiyo akili au matope?
Kwenye betting utaliwa mpaka ujambe,muamini madebe lidai aliposema ukiona mtu kala kwenye kubeti jua kwamba huko nyuma alishaliwa sanaSielewi naomba mnifunze nile mema ya nchi
Kuwa na pesa halafu hauna akili hayo ndio matokeo yakeTafuta hela mzee umasikini unakusumbua
Huwezi kuwa na pesa kama huna akili wewe ambaye huna ndio huna akili mwenzio kashaingiza 10000 wewe tangu asubuhi umekula Bei ganiKuwa na pesa halafu hauna akili hayo ndio matokeo yake